Nchi za kimagharibi hazifanyi huu ujinga, hata nchi karibia zote zilizotuzunguka hazina huu utaratibu.Nadhani tumekariri; tumemebeshwa taratibu za nchi za Kimagharibi, ambao hutoza kwa mwaka au nusu mwaka.
Mkuu, unazungumza kana kwamba mpangaji hawezi kukosa hela ya kodi endapo atalipa kodi kila mwezi.Usumbufu unaopatikana ni kwa sababu mpangaji anatakiwa kulipa miezi mitatu, minne au sita, kwa mwezi ni rahisi zaidi mtu kulipa. Mfanyakazi mwenye familia anayelipwa net milioni moja kwa mwezi ili aweze kulipa kodi ya miezi sita ya 1.2M lazima akope na hapo ndipo usumbufu wa malipo unapokuja, ila angeambiwa alipe laki mbili mbili kwa mwezi ni rahisi sana.
Usumbufu wa kulipa Bills za maji ni kwa sababu watu wana changia, hata umeme ilikuwa hivyo enzi watu wana changia mita. Siku hizi kila mtu ana luku yake watu wanalipia na hakuna mpangaji analala giza.Watu wanaosumbuana kulipa bills ya maji ya mwezi isiyozidi 30k unataka wakulipe kila mwezi Kodi ya chumba/nyumba?
Usumbufu wa kulipa Bills za maji ni kwa sababu watu wana changia, hata umeme ilikuwa hivyo enzi watu wana changia mita. Siku hizi kila mtu ana luku yake watu wanalipia na hakuna mpangaji analala giza.
Sana tuUmewahi kumpangisha mpangaji kwa mwezi akakusumbua kulipa kodi??
Sioni namna gani kumlipisha mpangaji kodi ya miezi sita kunamfanya athamini nyumba, pia sioni namna gani akilipa kodi ya mwezi mmoja na mmoja wa tahadhari(deposit) kutamfanya asithamini nyumba aliyopangishiwa.Unahoja lakini hoja yako Haifai katika mazingira yetu.
Watu wakiweza kuthamini mali za wengine, kutunza ahadi hoja yako itakuwa na nguvu
Sioni namna gani kumlipisha mpangaji kodi ya miezi sita kunamfanya athamini nyumba, pia sioni namna gani akilipa kodi ya mwezi mmoja na mmoja wa tahadhari(deposit) kutamfanya asithamini nyumba aliyopangishiwa.
Watu weusi wengi wanatumia utaratibu huu, kuna mtu mweusi kutoka nchi ya jirani namsaidia kutafuta nyumba ya kupanga anashangaa sana huu utaratibu wetu, kwao ni mwezi mmoja mmoja au miwili tu wa pili ukiwa ni kama pesa ya tahadhari ambayo itarudishwa yote au kiasi wakati wa kuhama kama mpangaji hajafanya uharibifu mkubwa .Hakuna mtu msumbufu kama mtu mweusi kwenye maswala ya fedha mtazungushana hadi umkatie Tamaa
Hujawah pangisha sio? Hebu jaribu halafu waambie walipe kila mwezi halafu uje utupe mrejesho
Sisemi mpangaji hawezi kukosa pesa ya kulipa ikiwa ni kwa mwezi mmoja mmoja, ninachosema ni kwamba usumbufu ni mkubwa zaidi kadri miezi ya kulipa inavyokuwa mingi kwa sababu wengi wanaopangisha huwa hawana hiyo pesa nyingi kwa mkopo ila ikiwa ni kwa mwezi wengi wanaweza kulipia kwa wakati, huu ni uzoefu na common sense tu.Mkuu, unazungumza kana kwamba mpangaji hawezi kukosa hela ya kodi endapo atalipa kodi kila mwezi.
Kuna wenye nyumba ambao huweka masharti kwa wapangaji wapya kulipa kodi ya miezi mitatu au sita mapema, kisha baada ya hapo wanaanza kulipa kila mwezi. Lakini pamoja na utaratibu huo, bado wapo wanaokutana na changamoto na kusumbuana na wapangaji wao. Nimeshuhudia hali kama hizi.
Kama lengo la kuweka masharti hayo ni kupunguza usumbufu wa kufuatilia kodi, ni muhimu pia kuangalia sababu nyingine zinazosababisha migogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji, kwa sababu malipo ya awali pekee hayawezi kuwa suluhisho kamili.
Upo sahii kwa muktadha huo.Hela ya broker ni makubaliano tu kati ya mteja na dalali, sehemu nyingi wala watu hawampi dalali kodi ya mwezi, mimi huwa nawapa ya nusu mwezi tu.
Hebu jaribu uone atakavorundika madeni Kodi ya mwez huu Italipwa mwez ujaoWatu weusi wengi wanatumia utaratibu huu, kuna mtu mweusi kutoka nchi ya jirani namsaidia kutafuta nyumba ya kupanga anashangaa sana huu utaratibu wetu, kwao ni mwezi mmoja mmoja au miwili tu wa pili ukiwa ni kama pesa ya tahadhari ambayo itarudishwa yote au kiasi wakati wa kuhama kama mpangaji hajafanya uharibifu mkubwa .
MikocheniNyumba iko wapi Mkuu
Ili ujenge yakooKatika jambo la hovyo ambalo sijawahi kulielewa ni hili la wenye nyumba kudai kodi miezi mitatu mpaka sita.
Nini hasa kinachosababisha mwenye nyumba atake kodi ya miezi mitatu au sita?! Duniani kote kodi huwa inalipwa mwezi mmoja mmoja na pesa ya tahadhari ya ziada inawekwa ni mwezi mmoja.
Serikali inahitajika kuingilia kati kudhibiti huu unyonyaji wa kijinga wa watu wajinga.
Mpwaa unaoongelea wana nyumba za kupangisha kama zotee sahau huruma si sioo malezziii m nalipa miezi 3 toka nasoma wewe uko.kazini lipanaa tu hamna jinsiKatika jambo la hovyo ambalo sijawahi kulielewa ni hili la wenye nyumba kudai kodi miezi mitatu mpaka sita.
Nini hasa kinachosababisha mwenye nyumba atake kodi ya miezi mitatu au sita?! Duniani kote kodi huwa inalipwa mwezi mmoja mmoja na pesa ya tahadhari ya ziada inawekwa ni mwezi mmoja.
Serikali inahitajika kuingilia kati kudhibiti huu unyonyaji wa kijinga wa watu wajinga.