HOJA Kwanini wenye nyumba Tanzania wanalazimisha kodi iwe miezi mitatu au sita?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bahati nzuri hizo nyumba mtakufa na kuziacha!

Utamuachia mke wako atakuwa ananipangisha Kwa mwezi huku nikimxhomeka Mashine.
Tafuta hela dogo acha makasiriko.Nyinyi si ndio mnasema kujenga ni kuzika pesa, sasa utachagua uizike kwa kujenga au uizike kwa kupanga.
 
Hakuna cha nchi ya magharibi ,huu ni upumbavu unaoexist Tanzania tu , nenda marekani ,Europe nk ,hamna rent ya miezi sita au mwaka .Rent inalipwa on monthly basis
😂 Aisee. Sawa.
 
Ungekuwa na nyumba ya kupangishs ungeelewa sababu. Mfano wa kwangu alikuwa ananilipa kila baada ya miezi mitatu. Akaomba iwe kila mwezi lakini inafikia miezi 3 hajalipa na akilipa ni nusunusu.
 
Nyumba huwa zina ranges mbali mbali,amia tu kwenye nyumba ambayo utalipia huku ukiwa very comfortable,hamia hata mbagala,au kisarawe!,sio mbaya ili upate chumba cha 20,000/-(cement imepanda bei sana)
 
Wala iskupe shida, jenga yako uishi kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…