- Thread starter
- #21
Sheria ya mto inasema hutakiwi kujenga umbali wa 60M kutoka katika kingo za MTO!Ule ni mto sio bonds,ni kinyume Cha Sheria kupima viwanja kwenye lango la mto
Unaweza kunisaidia kuniambia ni nani aliyejenga karibu na MTO kati ya Ofisi za mwendokas na nyumba wanainchi waliotimuliwa hapo jangwani