D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 11,793 Reaction score 22,552 Apr 18, 2021 Thread starter #21 kabombe said: Ule ni mto sio bonds,ni kinyume Cha Sheria kupima viwanja kwenye lango la mto Click to expand... Sheria ya mto inasema hutakiwi kujenga umbali wa 60M kutoka katika kingo za MTO! Unaweza kunisaidia kuniambia ni nani aliyejenga karibu na MTO kati ya Ofisi za mwendokas na nyumba wanainchi waliotimuliwa hapo jangwani
kabombe said: Ule ni mto sio bonds,ni kinyume Cha Sheria kupima viwanja kwenye lango la mto Click to expand... Sheria ya mto inasema hutakiwi kujenga umbali wa 60M kutoka katika kingo za MTO! Unaweza kunisaidia kuniambia ni nani aliyejenga karibu na MTO kati ya Ofisi za mwendokas na nyumba wanainchi waliotimuliwa hapo jangwani