Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Sasa kama 40% ya wachezaji wamefundishwa na uyo Ibenge huoni kuwa ni Advantage pia kwa Yanga maana mbinu nyingi za uyo kocha zitakuwa zinajulikana?
Yaani anaelewa basi, hakuisumbua hata akili yake kujua kwamba hiyo itakuwa advantage kwa yanga
 
Timu inayo tolewa round hii wala haina cha kupoteza maana inaenda kucheza mechi nyingine kule Shirikisho.
Na inayo nafasi ya kujiuliza kuelekea makundi Kombe la Shirikisho
 
Labda makundi ya panya

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Sasa baada ya zile pilikapilika za kuandika mashudu kila siku mzungu hivi mzungu vile, mara kikosi hakieleweki mara kocha amefukuzwa mara barbara hivi mara simba vile nyuzi zilikua zinaongozana mpk kero. Sasa kaeni kwa kutulia maana mpk mcheze na hyo Aly Hilali mtakua mmetoa matusi yotee na mkifungwa sasa mnayarudia hahah. Tulieni na nyie dawa iwaingie
 
Mapopoma wanaingelea Yanga tu wamesahau timu lao bovu tambala la bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…