Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Sasa kama 40% ya wachezaji wamefundishwa na uyo Ibenge huoni kuwa ni Advantage pia kwa Yanga maana mbinu nyingi za uyo kocha zitakuwa zinajulikana?
Yaani anaelewa basi, hakuisumbua hata akili yake kujua kwamba hiyo itakuwa advantage kwa yanga
 
Timu inayo tolewa round hii wala haina cha kupoteza maana inaenda kucheza mechi nyingine kule Shirikisho.
Na inayo nafasi ya kujiuliza kuelekea makundi Kombe la Shirikisho
 
Kumbe uliyetoa post ni kolo [emoji83] wizard?
Al hilal wangekuwa wazuri wasingepewa peneti ya kuunga Unga dhidi ya st.george

[emoji3504] YANGA hii imemfukuza kazi kocha Pablo+ Babu Zoran
[emoji3504] Zamu ya IBENGE kufukuzwa kazi

Kolo wizards [emoji83] sisi Yanga makundi lazima

Kolo ni kolo tu[emoji83][emoji668]
Mayele kawafunga Simba goli 2[emoji460][emoji460]
Mayele kawafunga zalani goli 3[emoji460][emoji460][emoji460]
Hapo tofauti ya zalani na kolo ni ipi?

[emoji3504] Yanga tumeiomba CAF waruhusu Simba [emoji83]+Al hilal watengeneze timu 1 ili timu hiyo ndio ingie uwanjani kupambana na Yanga tarehe 8/10/2022

[emoji375][emoji375]Suala la hat trick kujirudia hiyo tarehe 8/10/2022
Ndio endapo wings back na middle players kutimiza majukumu yao vyema ili mipira imfikie yule unaemjua wewe ambae hutaki kumuona uwanjani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji375][emoji375]Yanga makundi ni suala la muda[emoji375][emoji375]
Labda makundi ya panya

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Sasa baada ya zile pilikapilika za kuandika mashudu kila siku mzungu hivi mzungu vile, mara kikosi hakieleweki mara kocha amefukuzwa mara barbara hivi mara simba vile nyuzi zilikua zinaongozana mpk kero. Sasa kaeni kwa kutulia maana mpk mcheze na hyo Aly Hilali mtakua mmetoa matusi yotee na mkifungwa sasa mnayarudia hahah. Tulieni na nyie dawa iwaingie
 
Mapopoma wanaingelea Yanga tu wamesahau timu lao bovu tambala la bibi
 
Back
Top Bottom