Kwanini Yanga huwa wanapangiwa timu dhaifu na mbovu?

Hili swali nimejiulizaga mara nyingi mno.
Kama hilo swali unajiuliza mara nyingi basi uwe unashabikia rede, au basketball ama michezo mingine maana mpira wa miguu umekushinda.
Timu zote zilikuwa na point nyingi huwa inapangiwa timu zilizo na rank za chini kama ambavyo umeona Mamelod, Al Ahly, Tp Mazembe, Petro, Es Tunis, walivyopangiwa timu dhaifu. Hukuona kipindi kile Yanga hawana point walivyokuwa wanapangiwa timu ngumu kama Pyramids, Al Hilal, n.k?
 
Unazungumziaje Simba kufungwa goli 5-1 , marudiano kufungwa 2-1?
 
Ni uchawi wa kupitia milango isiyo rasmi.. baaasii hakuna kingine
mtani kwenye ukweli tuseme tu,yanga kwasasa ni inakikosi bora kwa hapa africa mashariki kwa upande wa club,juhudi zao zinaonekana mechi iliyopita japo walishinda ila walicheza fyongo kwa kukosa magoli na hizo dalili nikuja kuziona baada ya mechi,maana toka awali kocha alilalamikia wachezaji kutopumzika na athari nilikuja kuiona kwenye mechi!,so siamini uchawi,ufundi ndo mambo yenyewe.
 
Ahahha haya mtani...
 
Msimu ulioisha hakuna timu yoyote kwenye mashindano ya klabu bingwa iliyoweza kugusa nyavu za Al Ahly zaidi ya Yanga pekee. Ni Yanga pekee ndio iliyoweza kuharibu clean sheet ya Al Ahly timu zingine zote zimemshindwa. Chukua hiyo
shida wanaushabiki wa hovyo hawana fikra!
 
Unawazimu toka lini al ahly wakapangiwa na zalani..?
 
Timu zao walizopangiwa nao mbovu mnooo
Ref hata msimu ulipita wale wasudan waliokuja na basi kutoka kwao....πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
nawe ni wakutamka maneno haya..! basi ngoja tuone timu dhaifu ni ipi.
 
EBC ya SA labda kama ni timu ya kwenye ukoo wenu
By the way wewe ni kilaza
 
Huo ndo ukweli bana...hata kama mna kikosi ila na ushirikina mnao...πŸ˜„πŸ˜„
nyie ndo mkakamatwanao kabisa..🀣 mpk mje kuelewa mtakauwa mshashika mkia hadi kwenye NBC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…