Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Kama hilo swali unajiuliza mara nyingi basi uwe unashabikia rede, au basketball ama michezo mingine maana mpira wa miguu umekushinda.Hili swali nimejiulizaga mara nyingi mno.
Timu zote zilikuwa na point nyingi huwa inapangiwa timu zilizo na rank za chini kama ambavyo umeona Mamelod, Al Ahly, Tp Mazembe, Petro, Es Tunis, walivyopangiwa timu dhaifu. Hukuona kipindi kile Yanga hawana point walivyokuwa wanapangiwa timu ngumu kama Pyramids, Al Hilal, n.k?