OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kitu kizuri ni kizuri tu. Lakini sio kwa hii jezi. Weka ushabiki pembeni ugundue hizi sio jezi za mpira bali ni vitenge.
Kwa nini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira? Mara Daimond, mara Manara. Hii ni soka, sio sawa kuwavisha watu vitenge kwenye soka