Kwanini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira?

 

Attachments

  • 20240728_153323.jpg
    85.8 KB · Views: 1
  • 20240724_192430.jpg
    145.6 KB · Views: 2
Wote tunajua ile ni jezi yenye neno SANDA kama kifupi cha jina. Ila kama unalazimisha iwe Sanda ya kumaanisha vazi ukumbuke tu usilipovaa leo utavalishwa ukiwa unazikwa.

Sasa vitenge ndugu yangu? Duh.
Wote? Kama wote wanajua Sanda ni kiufupi kwanini hizi kelele mtaani?

Wale wanaozikwa kwenye majeneza na suti nao wanahitaji sanda?
Unaelewa sifa za kitenge?
 
Kitambo sana..yaani ubunifu sifuri..ingekuwa nchi za wenzetu kule wangeenda mahakamani
 
Wote tunajua ile ni jezi yenye neno SANDA kama kifupi cha jina. Ila kama unalazimisha iwe Sanda ya kumaanisha vazi ukumbuke tu usilipovaa leo utavalishwa ukiwa unazikwa.

Sasa vitenge ndugu yangu? Duh.
Kwahio nyie mmeamua kuvaa sanda mapema
 
Reactions: Tsh
Hawawezi kutengeneza jezi za kukufurahisha nafsi yako
 
Na zile sanda zenu zinazofanana sabuni za kigoma za kuoshea vyombo vipi ziko sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…