Kwanini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira?

Na Batiki
Basi pia huko mmeamua kuvaa sanda mapema sijui mmewaonea wivu hadi marehemu,,,,,,mlianza na mambo ya kuingia na jeneza uwanjani, sahivi mmeamua kabisa kuvaa sanda
 
Reactions: Tsh
Aaahhh Mwasibu feki OKW CPA uchwara SUNZU BOBAN ovyo kabisa umerudi kwa gia mpya.
 
Mavazi ya Tshala Muana na Mbilia Bel hawa vyura wanataka kutuaminisha ni jezi?
 
Sheria Ngowi msimu huu kawaweza kweli kwei hawa nyani wa pori la utopolo.
 
Sema Yanga wakiamua kutengeneza vijora na madela kwa hicho kitenge cha mabegani watapiga sana pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…