Kwanini Yanga isipige marufuku kuongelewa EFM?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Kituo cha redio cha EFM na watangazaji wake wameacha taaluma yao na kuleta ushabiki wao na fitina binafsi juu ya clab yetu ya yanga na viongozi wetu Yanga tunapenda kukosolewa lakini Media ya EFM imezidi kutukera, kututusu na kuidhalilisha team yetu.

Assume mwandishi wa habari aliyesoma chuo anaita club ya Young Africans eti Gongo wazi mara Utopolo haipendezi. Waandishi wa EFM wamezusha mengi kukatisha tamaa, kubeza timu yetu jambo ambayo sio jambo zuri.

Leo wanazusha ati mashabaki wa Yanga waliripua fataki na kung'oa viti na wanashiniza Yanga wapewe adhabu, jambo ambalo sio kweli na video zinadhihirisha hivo. Tukumbuke walivoshinikiza Mchezaji wetu Aucho afungiwe.

Na tuhuma nyingine za uongo ati Yanga tunanunua mechi ambao wote ni uongo na ni habari ambazo hawawezi kuthibisha lakini wakiacha doa kwenye team yetu. Nawasihi viongozi wa Yanga piga marufuku habari za timu yetu kuongelewa Efm. Yanga ni timu kubwa na habari zetu zinauza ndo zinawapa umaarufu huku wakiinajisi timu yetu.

Asanteni
 
Wengi wa wachambuzi uwa wanaongea kwa hisia zao zaidi kuliko taaluma, Kinac ho takiwa ni kuwa puuza.
Kadri siku zinavyo kwenda na ushindani unapo kua katika tasnia ya habari za michezo, Makanjanja wengi watakosa soko.
Vijana wenye taaluma wanaongezeka na muda si mrefu aina hii ya uchambuzi wanayo kwenda nayo itakosa mvuto kwenye soko.
 
Ttzo letu yanga, wakiongelea mazuri tunaenda kwenye pages zao na wakiongelea mabaya Bado tunaenda kutukana na kubishana huko bila kujua kwamba tunawapa attention. Hawa ni kuwapuuza iwe tumeshinsa,tumefungwa, wametuongelea vizur au vibaya. Hao ni kuwapuuza tu afu tuone hivyo vipindi vyao waviendeshe kwa mgongo wa Simba pekee
 
Wengi wa wachambuzi uwa wanaongea kwa hisia zao zaidi kuliko taaluma, Kinac ho takiwa ni kuwa puuza.
Kadri siku zinavyo kwenda na ushindani unapo kua katika tasnia ya habari za michezo, Makanjanja wengi watakosa soko.
Vijana wenye taaluma wanaongezeka na muda si mrefu aina hii ya uchambuzi wanayo kwenda nayo itakosa mvuto kwenye soko.
Naona itakuwa ivo
 
Aliyeiloga nchi hii bila shaka sio mwakipande, why unakerwa na kituo hicho cha radio, why unakusikiliza kama kinakukera, why usisikize radio stations zingine?,freedom of speech ni haki yetu kikatiba, kama hoja zao ni potofu wewe weka za ukweli mkuu,
 
Kituo cha redio cha EFM na watangazaji wake wameacha taaluma yao na kuleta ushabiki wao na fitina binafsi juu ya clab yetu ya yanga na viongozi wetu Yanga tunapenda kukosolewa lakini Media ya EFM imezidi kutukera, kututusu na kuidhalilisha team yetu.

Assume mwandishi wa habari aliyesoma chuo anaita club ya Young Africans eti Gongo wazi mara Utopolo haipendezi. Waandishi wa EFM wamezusha mengi kukatisha tamaa, kubeza timu yetu jambo ambayo sio jambo zuri.

Leo wanazusha ati mashabaki wa Yanga waliripua fataki na kung'oa viti na wanashiniza Yanga wapewe adhabu, jambo ambalo sio kweli na video zinadhihirisha hivo. Tukumbuke walivoshinikiza Mchezaji wetu Aucho afungiwe.

Na tuhuma nyingine za uongo ati Yanga tunanunua mechi ambao wote ni uongo na ni habari ambazo hawawezi kuthibisha lakini wakiacha doa kwenye team yetu. Nawasihi viongozi wa Yanga piga marufuku habari za timu yetu kuongelewa Efm. Yanga ni timu kubwa na habari zetu zinauza ndo zinawapa umaarufu huku wakiinajisi timu yetu.

Asanteni
NAKAZIA
 
Aliyeiloga nchi hii bila shaka sio mwakipande, why unakerwa na kituo hicho cha radio, why unakusikiliza kama kinakukera, why usisikize radio stations zingine?,freedom of speech ni haki yetu kikatiba, kama hoja zao ni potofu wewe weka za ukweli mkuu,
Kupotosha unaona sahihi?
 
Back
Top Bottom