Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Shalom Mtumishi.
Yesu siyo Mungu maana yeye mwenyewe ana Mungu. Kwenye Yohana 20:17 anasema hivyo.
Yesu akamwambia, “Usinishike; sijaenda bado juu kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu uwaambie: Naenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
Andiko la Yohana 1:1 limepotoshwa. Maneno Mungu yaliyoandikwa mara mbili hayamaanishi kitu kimoja. Biblia enzi hizo iliandikwa kwa Kigiriki. Ukiangalia andiko hilo kwa kigiriki utaona tofauti ya Mungu hizo. Mungu moja in V mwishoni na nyingine ina S. Hiyo ya pili inamaanisha yesu alikuwa na sifa za kimungu, na siyo kwamba alikuwa Mungu.
Yesu hajilinganishi na Mungu. Huko juu alisema naenda kwa baba yangu na baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu. Hapa chini anakazia kuwa huyo baba ni mkuu kuliko yeye. Na kuwa hawako sawa.
Yohana 14 28
Mlisikia ya kwamba mimi niliwaambia, Naenda zangu, tena naja kwenu. Kama mngalinipenda, mngalifurahi kwa sababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.