Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa

Biblia inasema kwamba Mungu sio mwanadamu​

‘Mungu sio mwanadamu’ (Hesabu 23:19)

‘Kwa maana mimi ni Mungu, wala sio mwanadamu’ (Hosea 11:9)

Yesu anaitwa mtu mara nyingi katika Biblia​

Mtu ambaye amewaambia iliyo kweli’ (Yohana 8:40)

‘Yesu Mnazareti, mtu aliyeshuhudiwa na Mungu kwa miujiza na maajabu na ishara ambazo Mungu alizifanya kwa yeye katikati yenu, kama ninyi wenyewe mjuavyo.’ (Matendo 2:22)

‘mwanadamu Yesu Kristo ’ (Tim. 2:5)

Biblia haisemi bali aliyeiandika ndiyo alisema
 
1. Ushahidi wa Kibiblia
Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo."

Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu:
Yohana 10:30 – "Mimi na Baba tu umoja."
Yohana 8:58 – "Amini, amini, nawaambia, Kabla Abrahamu hajakuwako, Mimi niko."

2. Sifa za Kimungu alizo nazo Yesu
Uwepo wake wa milele – Mika 5:2
Uwezo wa kusamehe dhambi – Marko 2:5-7
Uwezo wa kutoa uzima wa milele – Yohana 10:28
Uwezo wa kuhukumu ulimwengu – 2 Wakorintho 5:10

3. Miujiza inayodhihirisha Uungu wa Yesu
Kubadili maji kuwa divai (Yohana 2:1-11) –
Kutembea juu ya maji (Mathayo 14:25-27)
Kutuliza dhoruba (Marko 4:39)
Kufufua wafu (Yohana 11:43-44)
Kupaa mbinguni (Matendo 1:9-11)

4. Unabii wa Agano la Kale ulitimia kuhusu Uungu wa Yesu
Katika Isaya 9:6 – Yesu anaitwa "Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele."
Katika Mathayo 1:22-23, tunasoma jinsi unabii huo ulivyotimia:
"Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa njia ya nabii, akisema, Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, Naye watamwita jina lake Imanueli; yaani, Mungu pamoja nasi."

5. Watu Walimwabudu Yesu na kukiri kuwa ni Mungu
Mathayo 28:9,17 – Wanafunzi wake walimsujudia.
Yohana 20:28 – Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu! Yesu alipoambiwa na Tomaso kuwa ni Mungu, hakukanusha.

Kama unadai Yesu sio Mungu, toa sababu zako hapa
Aidha huu ni uongo au hamjamuelewa yesu aliyo yasema,
 
Ubarikiwe sana
 
Nafikiri hiyo ndiyo post yangu ya kwanza ya kiingereza tena imetokea tu.

Nimethibitisha kuwa Muhammad ni Mtume wa Allah.
Je mimi nikikuthibitishia kuwa Muhammad siyo mtume wa mungu wala yeye mwenyewe alikuwa ajui mtume ni kitu gani wewe utaweza kupinga?kitu cha kwanza kinacho thibitisha kuwa Muhammad ni muhuni ni hiki 👉 kabla ya Muhammad kupewa utume na msahafu alikuwa ana mwabudu Mungu kwa kufuata kitabu gani ?maana mwongozo wa mwisho wa mungu kabla ya msahafu ni injili na mtume wa mwisho kabla ya Muhammad ni issa na watu wanao mkubali issa na injili ndiyo manaswara sasa kabla ya Muhammad kufikisha miaka 40 alikuwa ana abudu mungu kwa mwongozo gani ?.
 
Huwezi kunithibitishia kuwa Mtume Muhammad sio Mtume wakati mimi maandiko yananiambia yeye ni Mtume labda unipe porojo tu.
 
1. Ushahidi wa Kibiblia
Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo."

Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu:
Yohana 10:30 – "Mimi na Baba tu umoja."
Yohana 8:58 – "Amini, amini, nawaambia, Kabla Abrahamu hajakuwako, Mimi niko."

2. Sifa za Kimungu alizo nazo Yesu
Uwepo wake wa milele – Mika 5:2
Uwezo wa kusamehe dhambi – Marko 2:5-7
Uwezo wa kutoa uzima wa milele – Yohana 10:28
Uwezo wa kuhukumu ulimwengu – 2 Wakorintho 5:10

3. Miujiza inayodhihirisha Uungu wa Yesu
Kubadili maji kuwa divai (Yohana 2:1-11) –
Kutembea juu ya maji (Mathayo 14:25-27)
Kutuliza dhoruba (Marko 4:39)
Kufufua wafu (Yohana 11:43-44)
Kupaa mbinguni (Matendo 1:9-11)

4. Unabii wa Agano la Kale ulitimia kuhusu Uungu wa Yesu
Katika Isaya 9:6 – Yesu anaitwa "Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele."
Katika Mathayo 1:22-23, tunasoma jinsi unabii huo ulivyotimia:
"Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa njia ya nabii, akisema, Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, Naye watamwita jina lake Imanueli; yaani, Mungu pamoja nasi."

5. Watu Walimwabudu Yesu na kukiri kuwa ni Mungu
Mathayo 28:9,17 – Wanafunzi wake walimsujudia.
Yohana 20:28 – Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu! Yesu alipoambiwa na Tomaso kuwa ni Mungu, hakukanusha.

Kama unadai Yesu sio Mungu, toa sababu zako hapa
Yesu kuitwa Mungu na watu wengine sio tatizo wala muujiza.

Unategemea nini kutoka kwa watu walioitwa kondoo na wanaamini uwa kweli wao ni kondoo?

Wapi Yesu mwemyewe kasema "mimi Mungu"? Au "Niabuduni"?
 
Huwezi kunithibitishia kuwa Mtume Muhammad sio Mtume wakati mimi maandiko yananiambia yeye ni Mtume labda unipe porojo tu.
Je katika uislamu mlitaadhalishwa kuhusu shetani ? Ipo njia ya kumjua shetani hat akijifanya ni mungu au malaika au mtume ..... mfano mambo ambayo unaweza kumtambua Muhammad kuwa ni shetani ni hsya aliyo sema
1 )mimi ni mtume mkuu kuliko wote.
2)uma wangu mimi Muhammad ndiyo uma bora mbinguni kuliko nyuma zote 👈hapa kuna akili kubwa
3)mimi Muhammad ndiyo mwisho wa mitume na manabii ...mtu yoyote atakaye kuja juu yangu na kujiita mtume au nabii huyo ni mwongo 👈hapa pia kuna akili ya kumjua kuwa Muhammad ni mwongo
Hizi hoja tatu ni kubwa sana nikikupa logic zake wewe mwenyewe utabaki unashangaa ....maana ndani ya hizi hoja zinathibitisha kuwa Muhammad alikuwa ajui mtu kuwa mtume na nabii ni nini ...sasa swali vipi mtume wa kweli na mtume mkuu kuliko mitume wote ajui mtume ni nini ‽
 
Je katika uislamu mlitaadhalishwa kuhusu shetani ? Ipo njia ya kumjua shetani hat akijifanya ni mungu au malaika au mtume ..... mfano mambo ambayo unaweza kumtambua Muhammad kuwa ni shetani ni hsya aliyo sema
1 )mimi ni mtume mkuu kuliko wote.
2)uma wangu mimi Muhammad ndiyo uma bora mbinguni kuliko nyuma zote 👈hapa kuna akili kubwa
3)mimi Muhammad ndiyo mwisho wa mitume na manabii ...mtu yoyote atakaye kuja juu yangu na kujiita mtume au nabii huyo ni mwongo 👈hapa pia kuna akili ya kumjua kuwa Muhammad ni mwongo
Hizi hoja tatu ni kubwa sana nikikupa logic zake wewe mwenyewe utabaki unashangaa ....maana ndani ya hizi hoja zinathibitisha kuwa Muhammad alikuwa ajui mtu kuwa mtume na nabii ni nini ...sawa swali vipi mtume wa kweli na mtume mkuu kuliko mitume wote ajui mtume ni nini ‽
Umeandika nini? Mbona hakuna hoja kuonyesha kuwa yeye ni muongo
 
Huwa nakuja pole pole hili ujue uwezo mkubwa wa akili ya kupambanua mambo tofauti na akili zenu ...hapo wewe kamwe uwezi kuona logic na nilijua uwezi kuiona kamwe hadi nikufunulie ....kuna mashekh walikimbia fafanuzi za hayo niliyo orodhesha
 
Mbona hakuna hoja yoyote ya maana
 
Mbona hakuna hoja yoyote ya maana
Nataka kwanza ujaribu kutumia akili yako kufikili hoja yangu ni ipi hapo..kabla ya mimi kuja kukufunulia napenda kuamsha akili za watu kabla ya kufunua mambo maana wengi wenu akili zenu zime lala usingizi wa porno😁😁
 
Back
Top Bottom