Kwanini Yesu Kristo hakuoa, hakuwa na mwanafunzi wa kike, pia Yesu hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Kuna nini nyuma ya pazia ?

Umenena kweli biblia imekataza mwanamke kuwa kiongozi wala kusimama mbele ya wanaume kuwafundisha,lakini
Watu wamepotoka kweli kweli,siku hizi hadi kuna manabii wanawake,yupo mmoja clouds jumapili,yupo serious kabisa na anachokifanya!!! Inashangaza Sana!
 
Aliacha mtoto mmoja, jaribu kusoma vitabu vingine vya miaka hiyo nje ya Biblia takatifu.
 
Ulishasoma mahali kwenye msahafu wowote kuhusu kiumbe Cha jinsia ya kike Mbinguni?

Mfano, umewahi kusoma popote kuwa Kuna malaika wa Kike?

YESU ni wa Mbinguni na sio wa Duniani. Duniani ndio kuna kuoa na kuolewa. Huwezi elewa hili ukitafakari kwa akili za makobazi.
 
Sio Yesu tu hata hata Issac Newton,Nicola Tesla, Galileo Galilei n.k waliwakwepa wanawake.
Dah! Sasa mbona sasa Yesu umemuweka pamoja na akina Newton.
 
Tafakari sana hapo kwenye kisima ni kirefu na huna chombo cha kutekea utawezaje kunipa maji ya uhai pana fumbo zito sana!
 
Wanawake ni wasaliti, so ukiwa kwenye mission maalumu hupaswi kuwaendekeza watakupoteza
 
Kuwa nabii mwanamke ni sahihi, mwanamke anaweza akawa mwalimu, muinjilisti ila sio ktk nafasi ya Utume na Uchungaji wa kuchunga kanisa, hizo huduma za Utume na Uchungaji zimebeba uongozi ndani mwake.

Sasa Biblia haijawahi kutaja mwanamke kuwa sehemu ya juu kabisa kimamlaka popote pale. Utume na Uchungaji unahitaji mamlaka.
 
Mimi naamini kuwa, alikuwa na marafiki wa kike na pia kulikuwa na wanafunzi wa kike ila kwa kuwa enzi hizo wanawake walikuwa hawahesabiki ndio mana hakuna taarifa zao.
 
Hivyo viumbe vinge muingiza majalibuni🐸👈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…