umekosa hoja umeanza kututukania wazazi sasa!Washukuru sana wazazi wako kwa kukupa elimu kama hyo juu ya ndoa na mahusiano
Sorry mkuu,, lengo sio kitukana wazaziumekosa hoja umeanza kututukania wazazi sasa!
Sio kila walichofanya na kuamini wazazi nitafanya.
.sio mapacha sie.
stop involving people's parents with their lifestyles. kilazer.
me nashangaaga wanaojifananisha na kuku. akili zao zitakuwa za kukuKwahiyo kuku na binadam tuko class moja?
ila?Sorry mkuu,, lengo sio kitukana wazazi
Ndg wewe upo ulaya, hongera. Mimi Mzee wa huku Nanjilinji kijijini. Ya ulaya mbaki nayo huko huko msituletee huku Afrika.Kwahiyo haki sawa wewe unaitafsiri ktk uzinzi, kuna shida Afrika.
nikasoma mahali kwamba baba yake JKN alikuwa na wake 22 sasa zama hizo sijui ingekuwa sasa asingefikisha hata wa5 kabla hajaflotishwa. Hv mwanamke anapata wapi ujasiri wa kuua mme wake kisa kushare dudu?Ndg wewe upo ulaya, hongera. Mimi Mzee wa huku Nanjilinji kijijini. Ya ulaya mbaki nayo huko huko msituletee huku Afrika.
Shikamoo "NATURE"moyo unatoshekaga basi...atapita lihendisam lingine moyo utamtaka na me ntabeba tu kuufurahisha moyo.
waume zangu itabidi WANIVUMILIE tu siwezi kupingana na NATURE hii.
Kwanza wanaume wa zamani walikuwa wanaume kweli, hawa wa sasa wanaoishi kwenye nyumba za wanawake anaanzaje kuoa watu wengi....ukijua tu ana kimchepuko unatupa zubeda yake nje afu unammalizia na yeye moka ya kichwa afatane na zubeda yake
Nakubaliana na wewe. Na uwezo wa kujitetea unatokana na kuwa na kipato. Ukimtegemea mtu kwa kila kitu, atakufanya atakavyo. Beggars can't be choosers!Hivi hii ya 'wanawake wa zamani'mliwahi kuongea nao wakawaambia walikuwa wanapenda? Hakuna alokuwa anapenda kabisa huo uduwanzi, sema ndio ilikuwa mfumo wa jamii na walikuwa hawawezi kujitetea.
Ha ha ha ndo hizo hizo zubeda wengine wanajiita shangazi kaja lolHahaha ni shida! Huku wanabeba shangazi kaja![emoji16]
We mwanamke una matusi ya rejareja sana...imenibidi nicheke tu japo umenivua uanamume wanguHawa wanachekeshaga sana kujifananisha na wanaume wa zamani, wakati hawawafikii hata robo....
Enzi hizo men were men buana siku hizi wengi ni visokolokwinyo tu vinavokojoa vimesimama basi vinajikuta vimwanume (men with no balls)
Nisamehe bureWe mwanamke una matusi ya rejareja sana...imenibidi nicheke tu japo umenivua uanamume wangu
Hapa point ni heshima. Sio wote wenye tamaa na uwezo wa kupata vyote tunavyohitaji tunao. Times have changed my friend, women know how to hassle and many are making some serious cash.tatizo hata mkifanya kazi hamwezi kupata vyote mnavyohitaji sababu ya tamaa
Maagizo ya Mwenyezi Mungu yalikuwa kwamba, mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho. Sasa haya ya mwanamke ku hussle kama mwanaume,ndo usodoma na gomora.Hapa point ni heshima. Sio wote wenye tamaa na uwezo wa kupata vyote tunavyohitaji tunao. Times have changed my friend, women know how to hassle and many are making some serious cash.
You want us to lie down and play deadMaagizo ya Mwenyezi Mungu yalikuwa kwamba, mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho. Sasa haya ya mwanamke ku hussle kama mwanaume,ndo usodoma na gomora.