ni Uongozi wa JpM unafanya kazi poa na mambo mengi yanaonekana ila kuna vitu vinawaangusha sana kama haya masuala ya uteuzi unaoingiliana na masuala ya kisheria au katiba ndio shida
Hivi watanzania wenye sifa za utendaji wamekwisha mpaka ateuliwe aliyeshindwa kuongoza TRA?Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.
Tusubiri makubwa zaidi?
Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Vipi anaye gawa mabilioni?? Na barafu wake Bashite????!
lakini bado kuna watu smart wengi tu wamemzungukaMshauri mkuu wa mtukufu ni Daud Bashite ambaye na yeye washauri wake ni cyprian Musiba na Le mutuz ukitizama huo mtitiriko wa ushauri unapata picha moja kwa moja mtukufu magufuli anaharibu kila kitu kutokana na kuamini ushauri wa Bashite kuliko hata wa waziri mkuu na makamu wa Rais
Hivi watanzania wenye sifa za utendaji wamekwisha mpaka ateuliwe aliyeshindwa kuongoza TRA?
lakini bado kuna watu smart wengi tu wamemzunguka
Kwa hili la CAG uongo wa Zito kabwe upo wapi?zito ni mtu mwongo sana na kwa tabia hiyo ni mtu hatari kwa taifa
Mtu kama balozi Kijazi naamini anabusara sanaHawana sauti mbele ya Naibu Rais ndugu Daud Bashite
Mtu kama balozi Kijazi naamini anabusara sana
Mkuu
Ulishawahi kujiuliza kwann mh ndugai anamuogopa CAG wa zamani (prof asad) ????
Au kwann jiwe anamuogopa prof asad???
Huo ni mpango wa maandalizi ya mazingira ya upigaji bila kuulizwa. Huyu Jiwe anafanya kazi na kikundi alichozoea kuiba nacho huko TANROADS, TBA na Wizara ya Ujenzi.Hivi watanzania wenye sifa za utendaji wamekwisha mpaka ateuliwe aliyeshindwa kuongoza TRA?
kweli raia wamechokaHuo ni mpango wa maandalizi ya mazingira ya upigaji bila kuulizwa. Huyu Jiwe anafanya kazi na kikundi alichozoea kuiba nacho huko TANROADS, TBA na Wizara ya Ujenzi.
Dada endelea kuota!Serikali za mitaa tu hamjafika hata asilimia hamsini ndio utajuwa Magufuli hana mtaji mwenyekiti zero kabisa hana ushawishi kabisa yaani hii imekuwa kipi of kizuri kabisa ccm ya Magufuli marehemu kabisa 2020 hapenyi hata kwa koleo
Uliposema msikiti ndipo uliponiibua hata kuthubutu kujibu hii comment yako.
Msikiti ni sehemu ya kufanyia ibada kwa waumini wa dini ya kiislam, hoja yako ya kusema “
Alizoea kupewa udaku na asad wakiwa msikitini”
Kidogo inaweza ibua hisia kwa waumini wa dini hiyo tafadhali kama huto jali itazame kwa mara ya pili hiyo comment nadhani utagundua madhaifu. Tujaribu kuficha hisia zetu kidogo hata kama tunatofautiana na wao tusiwaattack kwa jinsi hii kwani haina afya. Nawasilisha tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]
I have no time kuwa waste kujadiliana na Mtu zero kama bashite huna akili hata moja unachojali tumbo lako tu huna manufaa yeyote kwa nchi hii just get lostDada endelea kuota!
Ifike kipindi muwe na uzalendo na nchi yenu wakuu hasa pale panapokwenda kinyume na katiba na miongozo ya nchi yetu haijalishi mnalipwa kiasi gani kusifu kila kitu..Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.
Tusubiri makubwa zaidi?
Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
9Alizoea kupewa udaku na asad wakiwa msikitini
State agent
Ilihamishiwa unconsolidated fund ya ikulu ambayo haikaguliwiKwa Nini isikaguliwe?