Kwanini Zitto anamuogopa CAG Mpya?

Kwanini Zitto anamuogopa CAG Mpya?

ni Uongozi wa JpM unafanya kazi poa na mambo mengi yanaonekana ila kuna vitu vinawaangusha sana kama haya masuala ya uteuzi unaoingiliana na masuala ya kisheria au katiba ndio shida

Mshauri mkuu wa mtukufu ni Daud Bashite ambaye na yeye washauri wake ni cyprian Musiba na Le mutuz ukitizama huo mtitiriko wa ushauri unapata picha moja kwa moja mtukufu magufuli anaharibu kila kitu kutokana na kuamini ushauri wa Bashite kuliko hata wa waziri mkuu na makamu wa Rais
 
zito ni mtu mwongo sana na kwa tabia hiyo ni mtu hatari kwa taifa
 
Vipi anaye gawa mabilioni?? Na barafu wake Bashite????!

Madini na pesa zote wanazokamata mipakani Airport Bandarini nk wamejitwalia wenyewe kienyeji ndiyo maana Daud Bashite katajirika sana kwa mda mfupi mpaka kumiliki mali na majumba mengi.
 
Mshauri mkuu wa mtukufu ni Daud Bashite ambaye na yeye washauri wake ni cyprian Musiba na Le mutuz ukitizama huo mtitiriko wa ushauri unapata picha moja kwa moja mtukufu magufuli anaharibu kila kitu kutokana na kuamini ushauri wa Bashite kuliko hata wa waziri mkuu na makamu wa Rais
lakini bado kuna watu smart wengi tu wamemzunguka
 
Hivi watanzania wenye sifa za utendaji wamekwisha mpaka ateuliwe aliyeshindwa kuongoza TRA?

Watanzania wapo lakini mtukufu magufuli yeye anamsiliza Bashite tu kila analotaka anatekeleza
 
Naibu Rais ndiye anaivuruga Nchi kwani ushauri wake unatumiwa kwa 100% na mtukufu magufuli
 
Mtu kama balozi Kijazi naamini anabusara sana

Hao wazee wenye Hekima na busara hawasilikilizwi kwani wao hawakutaka Tundu Lisu apigwe Risasi, anapendwa Daud Bashite na kila analosema ndilo hutekelezwa kwa haraka zaidi
 
Hivi watanzania wenye sifa za utendaji wamekwisha mpaka ateuliwe aliyeshindwa kuongoza TRA?
Huo ni mpango wa maandalizi ya mazingira ya upigaji bila kuulizwa. Huyu Jiwe anafanya kazi na kikundi alichozoea kuiba nacho huko TANROADS, TBA na Wizara ya Ujenzi.
 
Serikali za mitaa tu hamjafika hata asilimia hamsini ndio utajuwa Magufuli hana mtaji mwenyekiti zero kabisa hana ushawishi kabisa yaani hii imekuwa kipi of kizuri kabisa ccm ya Magufuli marehemu kabisa 2020 hapenyi hata kwa koleo
Dada endelea kuota!
 
Baada ya kuswali kuna :

1. Kula kashata na kahawa
2.kucheza karate na judo
3.kupanga wapi tukalipue
4.kupeana udaku wa Tanzania
5.kuombana nauli
6.kupiga hesabu za ada za madrasa

Namba 4 ndio inamhusu zito na asad kama unahoja nyingine uje

State agent
Uliposema msikiti ndipo uliponiibua hata kuthubutu kujibu hii comment yako.
Msikiti ni sehemu ya kufanyia ibada kwa waumini wa dini ya kiislam, hoja yako ya kusema “
Alizoea kupewa udaku na asad wakiwa msikitini”
Kidogo inaweza ibua hisia kwa waumini wa dini hiyo tafadhali kama huto jali itazame kwa mara ya pili hiyo comment nadhani utagundua madhaifu. Tujaribu kuficha hisia zetu kidogo hata kama tunatofautiana na wao tusiwaattack kwa jinsi hii kwani haina afya. Nawasilisha tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.

Tusubiri makubwa zaidi?

Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Ifike kipindi muwe na uzalendo na nchi yenu wakuu hasa pale panapokwenda kinyume na katiba na miongozo ya nchi yetu haijalishi mnalipwa kiasi gani kusifu kila kitu..

CAG mpya ana kipi kipya cha kuogopwa?iwapo tu tayari ameshavuruga TRA akatumbuliwa lakini leo amepewa kitu kikubwa zaidi sasa kama alishindwa kuwatendea haki wafanyabiashara tu je ataweza kuyatendea haki matumizi ya pesa za wananchi wote??

Dah mnaumiza sana pale mnapokuwa mnasifu hata vitu ambavyo nyie wenyewe binafsi hamvikubali mioyoni mwenu.
 
Back
Top Bottom