minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
ni Uongozi wa JpM unafanya kazi poa na mambo mengi yanaonekana ila kuna vitu vinawaangusha sana kama haya masuala ya uteuzi unaoingiliana na masuala ya kisheria au katiba ndio shida
Mshauri mkuu wa mtukufu ni Daud Bashite ambaye na yeye washauri wake ni cyprian Musiba na Le mutuz ukitizama huo mtitiriko wa ushauri unapata picha moja kwa moja mtukufu magufuli anaharibu kila kitu kutokana na kuamini ushauri wa Bashite kuliko hata wa waziri mkuu na makamu wa Rais