Kwanini Zitto anamuogopa CAG Mpya?

Kwanini Zitto anamuogopa CAG Mpya?

Mahesabu ya ACT wazalendio hata Chadema wengi naona wamennyong'onyea.Ruzuku zitakaguliwa barabara Hadi shilingi ya mwisho ijulikane ilipo .Kuna viongozi wajiandae kwenda jela
 
Kutesa kwa zamu Sasa ni zamu ya ACT wazalendo na Chadema kumuogopa CAG Kichere.Maana Profesa Assad alikuwa mshikaji wao akiwaachia tu wakijimwayamwaya na ruzuku wanavyotaka
Kwahiyo na Kichere ni mshikaji wenu atawaachia tu mjimwayemwaye na pesa za umma vile mnataka?
 
Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa.
Tusubiri makubwa zaidi?
Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
Labda Kwa sababu "NCHI ILIYOPATA MAENDELEO FEDHA HAINA SAMANI" jamaa anamkwanja Sana atakuwa anadharau report Kwa sababu ni story "FEDHA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO"
 
Zitto anasema CAG mpya anadai hanauwezo sijui amempima kwa kutumia nyanja zipi anadai pia kwenye board ya wahasibu na ukaguzi hayumo angali yumo zitto nashindwa kumuelewa anakwama wapi
FB_IMG_1572779941448.jpeg
 
Back
Top Bottom