Kwanini Zitto Kabwe anataka watu wapoteze muda kujadili viporo vya IPTL/ESCROW wakati huu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ni kwamba Zitto Kabwe hajui wazi hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye muda wa kufuatilia tena na IPTL/ESCROW nyakati hizi, hakuna mtu mwenye akili timamu atakayefuatilia suala ambalo inajulikana hakuna pesa zilizokwapuliwa zinazoweza kurujeshwa tena au mtu yeyote aliyekwapua atakayewajibishwa!

Zitto Kabwe amekuwa haba na duni hivi kusoma alama sahihi za nyakati na halisi ya mazingira ya kisiasa au ni mkakati maalumu wa watu wengine anatumikia?!
Screenshot_20250518-151330_X.jpg
 
View attachment 3338162
Haka kajamaa kanataka kitutoa kwenye reli. Kaambieni gari lishakubali gia🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni kwamba Zitto Kabwe hajui wazi hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye muda wa kufuatilia tena na IPTL/ESCROW nyakati hizi, hakuna mtu mwenye akili timamu atakayefuatilia suala ambalo inajulikana hakuna pesa zilizokwapuliwa zinazoweza kurujeshwa tena au mtu yeyote aliyekwapua atakayewajibishwa!

Zitto Kabwe amekuwa haba na duni hivi kusoma alama sahihi za nyakati na halisi ya mazingira ya kisiasa au ni mkakati maalumu wa watu wengine anatumikia?!
View attachment 3338162
Hakika umemstukia sana!
 
Huyu mcongomani anatafuta ku trend tu maana sasa hivi habari ni No Reforms No Election na kesi ya Tundu Lissu tu anaona anazidi kusahaulika ndiyo kaja kivingine, snitch mkubwa huyu.
 
Zitto mwenyewe halikuwa hataki bwawa lijengwe..

Ili mambo ya IPTL na dowans yaendelee kuwepo Tanzania, yeye zitto azidi kuneemeka.

Apate faida ya rushwa kwa wamiliki wa kampuni za umeme. Na apate faida ya mtaji wa kisiasa kama anavyofanya hapo
 
Back
Top Bottom