Haka kajamaa kanataka kitutoa kwenye reli. Kaambieni gari lishakubali gia🤣🤣🤣🤣🤣Ni kwamba Zitto Kabwe hajui wazi hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye muda wa kufuatilia tena na IPTL/ESCROW nyakati hizi, hakuna mtu mwenye akili timamu atakayefuatilia suala ambalo inajulikana hakuna pesa zilizokwapuliwa zinazoweza kurujeshwa tena au mtu yeyote aliyekwapua atakayewajibishwa!
Zitto Kabwe amekuwa haba na duni hivi kusoma alama sahihi za nyakati na halisi ya mazingira ya kisiasa au ni mkakati maalumu wa watu wengine anatumikia?!
View attachment 3338162
Tumpuuze
Hakika umemstukia sana!Ni kwamba Zitto Kabwe hajui wazi hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye muda wa kufuatilia tena na IPTL/ESCROW nyakati hizi, hakuna mtu mwenye akili timamu atakayefuatilia suala ambalo inajulikana hakuna pesa zilizokwapuliwa zinazoweza kurujeshwa tena au mtu yeyote aliyekwapua atakayewajibishwa!
Zitto Kabwe amekuwa haba na duni hivi kusoma alama sahihi za nyakati na halisi ya mazingira ya kisiasa au ni mkakati maalumu wa watu wengine anatumikia?!
View attachment 3338162
JezebelAmetumwa na muuaji