Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Wewe unaishi wapi? Mbona wanaume wanaoana toka zamani na wala hawangoji ruhusa yako au ya serikali au mtu wa Mungu.Kwa hiyo kisa ni ulaya hata wakifanya ujinga tuwafate? Mbona mnaishi maisha ya kijima sana nyie wabongo!? Kwa hiyo huko wakioana wanaume na sie turuhusu waoane kisa wamefanya ulaya? Best sio kila tajiri anaakili ni Mungu tu aliamua kuwapa mali ndo maana mazezeta kama wewe unaaabudu!
Mawazo kuwa utajiri unatoka kwa Mungu na sio juhudi zako ndio unawafanya mshinde kwa watu wa Mungu matapeli ambao wanajifanya watakuombea upate utajiri kama utampa kila kitu ulichokua nacho. Haujiulizi kwa nini wakina Kakobe na Gwajima ni matajiri wakati waumini wao wanabembeleza mpaka nauli ya daladala.
Wajinga ndio waliwao.
Amandla...