"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

Mmh chalii yangu...kusaidiwa kwa dharau big noo.
Kwangu mimi pesa sio zaidi ya heshima.
Heshima kwanza.
Utu kwanza then pesa.
Pia huwa sinunuliki no matter what.
Niwe nazo au laah heshima ifuate mkondo wake mkuu.

Huwa naishiwa lakini sio kwa kiwango cha kukopeshwa naniliii[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Sawa sawa chamaaa
 
Hii nitakuruhusu tukiwa tuna historia...labda imetokea nimekwama sana.

Lakini mwanzo ujitutumue eti unigharamiee aaah siwezi kamwe.
Hayo ni mambo ya aibu na dharau.
Mwanamke haoni haya ipo siku ukimkorofisha atakwambia...umesahau nilikukuta choka mbaya hadi nilikuwa nakugharamia?.

Kuna vitu katika maisha yangu navilinda sana visitokee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Le Don G.
 
Ni tuvivulana tudogo tulitokosa muelekeo hata jf vimejaa kibao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema ni ngumu kutufahamu make majina wanayotumia ni ya kisomi zaidi na ya muonekano wa kizee, pia avatar zao zimejaa midevu kama flani bin flani!

Lakini yote kwa yote, acha watulee, make wanaume tumezidi kupungua! Wanawake ni wengi sasa! Tafiti zisizo rasmi Tanzania, wanawake 6 kwa mwanaume mmoja! Kwenye wanaume 10 mmoja ndo ana nguvu za kiume!!

Tumshukuru Mama [emoji3][emoji3][emoji23]
 
Yaani tshirt imekunyima mume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe ni msolid sana[emoji38][emoji38][emoji38]

Huyo alikuwa mvulana bila shaka
Aah kujuana week mbili tu ndo aanze kuniomba vitu plus nilipoenda nilienda kutumia hela sio kuingiza hela.
 
Wala msiwaze dada zangu Wazee wa kimasihara hawana hayo maswali ..in fact Hawana maswali kabisa



Swali utakalokutana nalo ni sikukuu lini ? Nikufanyie maarifa mapema
 
Back
Top Bottom