"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

Hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]

Anaomba zawadi, ila wanaume

Mi Kuna mmoja alikuwa ananiomba pafyume ya 230k...mpaka sasa

Huwaga namuangaliaga simmalizi[emoji2960]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hadi akuombe itakuwa ni mshikaji wako sana[emoji16][emoji16]
Nijuacho cha mwanamke hakiliwagi na ukikila utakilipia mara 2[emoji23]
 
Kuna mkaka mmoja nilikutana nae siku za nyuma akajifanya amenipenda ghafla nikaanza kuingia lain namba ya simu nikampa.

Baada ya kama week mbil za mawasiliano ya hapa na pale nikamwambia naenda mji flani kesho kwenye interview akaniombea kheri nikaenda.
Baada ya siku kadhaa akanichek unarudi lin nikamwambia kesho akaniambia sawa usiahau zawadi sijakaa sawa ananitumia picha ya Tshirt kali aliipiga picha kwenye duka moja hivi eti nataka zawadi yenyewe iwe hio t-shirt.
Sikuamini nilimchukia hapo hapo nikamwambia naomba tuachane mpaka leo staki hata kumuona.
Yaani tshirt imekunyima mume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe ni msolid sana[emoji38][emoji38][emoji38]

Huyo alikuwa mvulana bila shaka
 
This shit for real? Coz mi na wanangu tumekwama kwenye sifa ya chura since wayback mpaka leo
 
Mimi kuna binti nilimpiga chini hatua za mwanzo kabisa ya uhusiano.
Nilikuwa busy na kazi sana wakati tunafahamiana.
So akawa anaona namkwepa kwenda kutimiza haja zake...bila kujua kiasi gani nimetingwa na kazi.
Siku moja akaniambia...dia suala la hotel nitagharamia na pesa ya kutumia ninazo zakutosha wewe tenga muda haraka plz.

Nilimpigia simu nikamwambia futa simu yangu...nami baada ya call hii nafuta.

Ikawa mwisho wetu.
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mmmmmh
 
Mimi kuna binti nilimpiga chini hatua za mwanzo kabisa ya uhusiano.
Nilikuwa busy na kazi sana wakati tunafahamiana.
So akawa anaona namkwepa kwenda kutimiza haja zake...bila kujua kiasi gani nimetingwa na kazi.
Siku moja akaniambia...dia suala la hotel nitagharamia na pesa ya kutumia ninazo zakutosha wewe tenga muda haraka plz.

Nilimpigia simu nikamwambia futa simu yangu...nami baada ya call hii nafuta.

Ikawa mwisho wetu.
Kwanini sasa mkuu?[emoji849][emoji849][emoji848]

Sijaona kosa la demu[emoji57]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Uchumi mkuu,unadhani wanashusha suruali kwa wanaume wenzao wanapenda.Pesa
 
Acha hizo hizo huo ni upendo sio fadhila

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hii nitakuruhusu tukiwa tuna historia...labda imetokea nimekwama sana.

Lakini mwanzo ujitutumue eti unigharamiee aaah siwezi kamwe.
Hayo ni mambo ya aibu na dharau.
Mwanamke haoni haya ipo siku ukimkorofisha atakwambia...umesahau nilikukuta choka mbaya hadi nilikuwa nakugharamia?.

Kuna vitu katika maisha yangu navilinda sana visitokee.
 
Mimi kuna binti nilimpiga chini hatua za mwanzo kabisa ya uhusiano.
Nilikuwa busy na kazi sana wakati tunafahamiana.
So akawa anaona namkwepa kwenda kutimiza haja zake...bila kujua kiasi gani nimetingwa na kazi.
Siku moja akaniambia...dia suala la hotel nitagharamia na pesa ya kutumia ninazo zakutosha wewe tenga muda haraka plz.

Nilimpigia simu nikamwambia futa simu yangu...nami baada ya call hii nafuta.

Ikawa mwisho wetu.
🤣🤣🤣🤣Chalii yangu..Sasa si alikua anakusaidia jamani...ila Nimecheka sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chalii yangu..Sasa si alikua anakusaidia jamani...ila Nimecheka sana
Mmh chalii yangu...kusaidiwa kwa dharau big noo.
Kwangu mimi pesa sio zaidi ya heshima.
Heshima kwanza.
Utu kwanza then pesa.
Pia huwa sinunuliki no matter what.
Niwe nazo au laah heshima ifuate mkondo wake mkuu.

Huwa naishiwa lakini sio kwa kiwango cha kukopeshwa naniliii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom