Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Hii theory mzee practical sasa. Pesa ina nguvu yake hakuna mwanamke asiyependa mitoko, simu kali, shopping labda mama zetu wa miaka ya zamani za kale.Kutegemeana na aina ya mtu uliyeingia nae katika hayo mahusiano. Kwangu pia naamini hivyo, Ila kuna watu bila uchumi uliokaa vizuri hawezi kuwa na wewe.