"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

Life limekuwa gumu tu wakuu, wahurumieni vijana. Ukiwa jobless au una kazi yenye kipato kidogo, usingependa ku-date mtu wa kukutegemea 100%. Ndio maana mnaona vijana wanaangalia penye unafuu.

Sidhani kijana mwenye kipato chake anaweza kusema hivi, though naona baadhi pia hawataki kubeba mizigo siku hizi.
Ila kwenye mahusiano ukichimba kidogo unagundua uchumi sio kigezo kikubwa... I stand to be corrected
 
Ila kwenye mahusiano ukichimba kidogo unagundua uchumi sio kigezo kikubwa... I stand to be corrected
Kutegemeana na aina ya mtu uliyeingia nae katika hayo mahusiano. Kwangu pia naamini hivyo, Ila kuna watu bila uchumi uliokaa vizuri hawezi kuwa na wewe.
 
Kutegemeana na aina ya mtu uliyeingia nae katika hayo mahusiano. Kwangu pia naamini hivyo, Ila kuna watu bila uchumi uliokaa vizuri hawezi kuwa na wewe.
Naelewa saana wapo watu wa hivyo....Ila muda unavyoenda kwenye mahusiano utagundua ugomvi mwingi hata hauletwi na uchumi... mostly ni social issues...
 
Naelewa saana wapo watu wa hivyo....Ila muda unavyoenda kwenye mahusiano utagundua ugomvi mwingi hata hauletwi na uchumi... mostly ni social issues...
Aisee uchumi umekuwa tatizo kubwa sana kwenye ndoa za sasa, fuatilia tena mkuu.
 
Dunia inaenda kwa kasi saana.

Inatakiwa muwe mnawauliza unataka kuniajiri?
Lakin ukikutana na mtu ambae anakupenda hakuulizi hilo swali kabisa
Ila wengine cha kwanza anataka ajue unafanya kazi gani ili ajue atakuheshimu kiasi gani kwa kipimo kipi
 
Lazima uulizwe,ukisema sina kazi wanapita hivi[emoji2442][emoji2442][emoji2442]

Hivyo ni vivulana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nacheka km chizi hapa, nimekumbuka kitu flan hivi lol
 
Aisee uchumi umekuwa tatizo kubwa sana kwenye ndoa za sasa, fuatilia tena mkuu.
Uchumi ni tatizo siku nyingi na hadi leo Ila haujawahi kuwa chanzo kikuu ya migogoro kwenye ndoa au mahusiano. Angalia research nyingi mitandaoni.

Vitu vikubwa ni
-Ubinafsi
-power and control
  • kutokuwa waaminifu.
  • mawasialiano

Hata hapa JF tukiamua kufanya utafiti wa wanandoa wanapogombana ugomvi mara nyingi unasababishwa na nini?

Inachekesha kidogo....mwanamke akishakuwa kwenye himaya yako hawezi kulalamika haujamtoa out au haujamnunulia zawadi...atalalamika wewe kuja nyumbani late, not informing of something you have done without consulting her first ECT ECT...
 
Back
Top Bottom