"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

😂😂😂😂Sawa sawa chamaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Le Don G.
 
Ni tuvivulana tudogo tulitokosa muelekeo hata jf vimejaa kibao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema ni ngumu kutufahamu make majina wanayotumia ni ya kisomi zaidi na ya muonekano wa kizee, pia avatar zao zimejaa midevu kama flani bin flani!

Lakini yote kwa yote, acha watulee, make wanaume tumezidi kupungua! Wanawake ni wengi sasa! Tafiti zisizo rasmi Tanzania, wanawake 6 kwa mwanaume mmoja! Kwenye wanaume 10 mmoja ndo ana nguvu za kiume!!

Tumshukuru Mama [emoji3][emoji3][emoji23]
 
Yaani tshirt imekunyima mume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe ni msolid sana[emoji38][emoji38][emoji38]

Huyo alikuwa mvulana bila shaka
Aah kujuana week mbili tu ndo aanze kuniomba vitu plus nilipoenda nilienda kutumia hela sio kuingiza hela.
 
Wala msiwaze dada zangu Wazee wa kimasihara hawana hayo maswali ..in fact Hawana maswali kabisa



Swali utakalokutana nalo ni sikukuu lini ? Nikufanyie maarifa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…