Deo Benjamin
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 308
- 92
- Thread starter
-
- #61
Wana umri gani? Na ni aina gani?Jmn naomba msaada,kware wangu wanakufa sijui tatizo nn,Leo nimeshuhudia mmoja anatapika na kilichofuata ni kifo,nimejaribu vitamins lkn sijaona matokeo chanya.
Wana umri gani? Na ni aina gani?
Jamani Nahitaji Kufanya Ufugaji Wa Kwale, Lakini Sina Uzoefu Wowote Kuhusu Ufugaji Wa Kwale, Kwa Hiyo Anayefahamu Vizuri Naomba Anijuze 0719044015 NIPO MBEYA
Hawa ndege wanasumbuliwa Sana na ugonjwa wa macho,dawa ipi nzuri?
lakuongezea hapo mbona hawa ni nyara ya serkali itakuwaje ukishikwa na hawa ndege?au siku hiz ruksa kuwafugaMimi niwajuavyo kwale ni ndege wa porini na nishawahi kuwala sana kwa kwatega shambani,wako very shy na wanakimbia sana wanapoona mtu karibu,najiuliza wanakaaje bandani bila kutoroka? Na unaweza kuwaachia kama kuku wa kienyeji?
Hawa ndege wanasumbuliwa Sana na ugonjwa wa macho,dawa ipi nzuri?
Kaka Kwale wako wanasumbuliwa na mafua na si ugonjwa wa macho, Nenda kwenye duka la dawa za mifugo na uwaeleze kuwa kwale wako wanamafua yaliyopelekea kuvimba macho, hatua ya kuvimba macho ni hatua ya juu ya ugonjwa wa mafua na hii itasababisha upungufu katika kutaga, tegemea kukusanya mayai machache kwa muda huu.
Kinga: Jitahidi sana usichanganye kwale wako na mifugo wengine na waepushe kwale wako na Vumbi, mara nyingine vumbi hutokea kwenye chakula (chick mash), jitahidi kisitoe vumbi pindi unapowawekea kwenye vyombo vyao vya chakula.
NOTE: Dawa za mafua ziko nyingi chukua dawa za Holland na ile ya poda na si maji.
Kama watakuwa bado wanakusumbua baada ya siku tano za tiba, nijulishe
Nilikuwa natamani sana kufuga hao ndege ila sina uzoefu wowote nipo Morogoro #0715548883
Hv kitu kiko kwenye mayai ya kwale wa kufuga nyumbani ambacho kinatofautisha yai lake na la kuku?
Kama watakuwa bado wanakusumbua baada ya siku tano za tiba, nijulishe
nilivutiwa sana na huu mjadal wa kware na nimeanza kuwafuga wapo poa na afya tere hofu yangu ni soko la mayai yk ninaanzia wapi sijui nitayauza wapi kwani waru wengi wajui hiki kitu napata wacwac sana nisaidieni..