Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

Mkuu kware wa jamaa yangu wameanza kutaga, Sasa kuna jamaa mwingine anaitwa Joseph yuko Kimanzi Chana anataka kware 500 wa week tatu, nimempatia number yako, mpe ushirikiano ni colleague wangu
 
Wadau ofa inaendelea mwenye kunipa kware jike 20 nimpe madume 29 kwakua wapo wengi sana hawa wana wik8, au anipe majike25 wa wik3 Mimi nimpe madume,27 wa wik8 tusaidiane wadau madume yamekua mengi kwangu
 
Mkuu kware wa jamaa yangu wameanza kutaga, Sasa kuna jamaa mwingine anaitwa Joseph yuko Kimanzi Chana anataka kware 500 wa week tatu, nimempatia number yako, mpe ushirikiano ni colleague wangu

Kaka BNN,

Asante sana kaka, Mr. Joseph alinipigia jana na ameweka oda yake tayari, nashukuru sana. Msalimie Joyce mwambie akiwa tayari anijulishe nimuunganishe na wateja wa mayai.
 
Habari deo
Nimevutiwa na mwongozo wako wa ufugaji wa kwale kwani ni siku nyingi nilikuwa natafuta idea.nakaa maeneo ya tegeta hapa na ninatamani nifike hapo kwako unapofugia niweze kuangalia changamoto mbili tatu ili na mimi nianze kufuga. Naomba ushirikiano wako. Nimeona hii ni fulsa kwani tegeta na bunju sio mbali
 

Hongera na karibu katika ufugaji wenye tija.
 
Bei zetu bado ni zilezile kutokana na UBORA wa bidhaa zetu.

1. Mayai ya Kwale Trey Moja ya Mayai 30 ni shilingi 20,000

Vifaranga:-
- Kifaranga wa siku moja ni shilingi 2,500
- Kifaranga wa week moja ni shilingi 3,500
- Kifaranga wa week tatu ni shilingi 4,500
- Kifaranga wa week tatu ni shilingi 5,500
- Kifaranga wa week nne ni shilingi 7,000
- Kifaranga wa week tano ni shilingi 9,000
- Kifaranga wa week sita ni shilingi 12,000


Mawasiliano yetu
KWALE BORA TANZANIA LTD
Simu number : 0654 163 784
Email: kwalebora@gmail.com

facebook.com/kwalebora
twitter.com/kwalebora
www.kwalebora.com
 
Usanii mwingine tena huu naona na ndege poli wameingiliwa ati dawa hamna kitu ulia kwa nini ujibiwe?
 

Labda kwale mayai ya kwale poli, lakini hawa wabaofugwa kisasa sidhani kama yanatibu magonjwa hayo
 
MKUU ASANTE KWA darasa zuri la ufugaji wa kwale
 
Mkuu Deo, Nitapata vifaranga wa wiki moja kwa punguzo kidogo ili nami nilianzishe?
 
Kaka Deo nashukuru, Nimetaarifiwa vifaranga wamefika salama. Vipi naweza kupata fertile eggs tray 30 please, kuna ndugu yangu yuko Kibondo anataka kutotolesha
 
Hvi hawa ndege sio nyara ya serikali?,mmmh mie nakaa jiran na hifadhi fulan naogopa hawa jamaa wa wanyamapori wasije nipa virungu bure
 
Kaka Deo nashukuru, Nimetaarifiwa vifaranga wamefika salama. Vipi naweza kupata fertile eggs tray 30 please, kuna ndugu yangu yuko Kibondo anataka kutotolesha

Habari sister Magdalena, nafurahi kwa taarifa, unfortunately kwa sasa hatuuzi fertile eggs, tuna order nyingi sana za vifaranga, nitakujulisha pindi tukiwa na extra fertile eggs
 
Wadau mwenye uhitaj wa mayai nichek kupitia 0717209059/0765347508 nitakuuzia kwa bei ya jumla inayo kuruhusu kuuza na kupata faida pia karibu sana sina bei ya tamaa
 
Ukiitaj pia mayai ya Kware kwa kuangulishia (fertile egg) nichek kupitia 0717209059/0765347508 kwa bei poa ya jumla biashara maelewano tu, hatuna bei za tamaaa karibun
 
Habari wafugaji wa kware,
Mr Deo benjamin nimeupenda uzi wako but ninataka kujua unalichukuliaje tamko la TFDA kwamba mayai ya kware hayana Proteini kama wafugaji tunavyodai?
 

Attachments

  • 1432702132216.jpg
    38.2 KB · Views: 182
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…