Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Mkuu mm nina nia ya kufunga ila sielewi kanuni zetu za kufunga tunaanza saa ngapi hadi saa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu inakuwa tofaut kidogo, niwatakie kwaresma njema!Kusudi la mfungo linabakia kwenye ibada zako ikiwa ni pamoja na Sala zako, kitu gan unamwomba MUNGU MWENYEZI akutendee
Lakini ni lazima ujinyime sana na kuacha kuishi kama ulivyo kuwa unaishi miezi mingine
Kufunga kwaresma tunaanza kesho ndugu yanguMkuu mm nina nia ya kufunga ila sielewi kanuni zetu za kufunga tunaanza saa ngapi hadi saa ngapi?
Asante sana ubalikiwe mtumishKesho mapema ibada ya majivu.
Tuombeane kwa Mungu azipokee toba zetu madhaifu na tabia mbovu tulizozoea kuziishi huko nyuma Kwaresma hii ikaziondoshe kwetu tubaki wasafi hata milele.
Amina tutakuchangiaKesho asubuhii niwahi majivu,
Msisahau kuniungisha nipo hapa machava mje kununua chakula Cha samaki na Nguruwe
makutupora
Nipo Kigamboni barabara ya machava kwenda kanisa la Roma, fremu zinatazamana na jeshi la wanamaji kigambn duka namba kumi na mbili tupo barabarani hapo mkuu!Amina tutakuchangia
Sema tupe location vizur
Wadau watakuja
AminaAsante sana ubalikiwe mtumish
MUNGU APOKEE Sala zetu
Tuache dhambi maana muda mwingi tunatembea najisi
BWANA YESU KRISTO atuoshe kwa damu yake takatifu
Sasa kama bill umesha lipiwa si usubili kuondoka tuu malipo mengine ya nini tena au bill ililipwa nusu?Kwahiyo kwa kuwa YESU KRISTO kashatukomboa hivyo sisi tusifanye chochote tuendelee kulewa tu mtumish?
Wengine tumeshapaka misa ya Asubuhi mkuuJUMATANO YA MAJIVU
AminaAsante sana ubalikiwe mtumish
MUNGU APOKEE Sala zetu
Tuache dhambi maana muda mwingi tunatembea najisi
BWANA YESU KRISTO atuoshe kwa damu yake takatifu
Mimi jioni naenda ibada ya majivuLeo nimewahi mapema misa ya kwanza ili niendelee na majukumu..
I hope na wengine mmeshiriki au la jioni msikose misa hii muhimu ya kutukumbusha sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi...