Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

Halafu ana kasi ya ajabu, sijui kama ni yeye peke yake anaitumia hiyo id. Wako kazini buku saba kueneza propaganda.
Unajua mtu ambae anajiandikia tu bila kufikiri lazima awe na spidi sasa wewe unafikiri unajenga hoja unaweka facts yeye anakuja anabwabwaja na kuhamia uzi mwingine
 
Ccm iondolewe madarakani na nani?

Chadema [emoji3][emoji3][emoji3]

Vijana acheni mbege za marangu zinaharibu ubongo

Tunapoelekea itabidi atokee mwendawazimu mmoja atakaye kuwa ameumizwa na kufiwa na ndugu yake tokana na Covid-19 awe na akili za Umkhonto We Sizwe amalize Kazi...!!
 
Atakuwa amekomolewa na maabara za Wuhan
Inasikitisha kweli,yani mnaombea wenzenu wakumbwe mabaya kisa kumkomoa Magufuli? Yani chuki zenu kwa mtu mwengine ambaye mmeshindwa la kumfanya matokeo yake athari za chuki zenu wanazipata watu wengine.
 
Fikiri nje ya kisanduku.

Badala ya kuhangaisha kichwa chako nani atatawala, data za uongo, propagabda, nk (rejea bandiko lako) jiridhishe kwanza na usalama wa maisha yako.

JILINDE UMLINDE JIRANI
 
Umesema kweli mkuu, CCM ina watu wake, ni wachache tu.
Na vyama vingine vina wa kwake nao ni wachache pia.

Kinachogombewa ni hilo kundi kubwa la watu ambao ni neutral.
Kuwapata watu hao ni lazima uwe na hoja za maana, uwe na mgombea wa maana, muaminifu, mgombea muadilifu.
Mgombea ambaye ikibidi apatikane kupitia kwenye chekecheke la kidemokrasia.
Hayumkini, kwa kuwa watu wameichoka CCM uje na mgombea wa kuokota okota, ukitarajia kuzipata bure bure kura za watu hao.
Kundi linaloamua matokeo ni kundi la watu wanaojitambua, linapima mambo mengi kabla halijaamua kukupa kura ya NDIYO.
Ni ushauri tu.
 
Matokeo yanatanzwa kwa kadri yalivyopokelewa toka kwa makada wa ccm ambao ni wasimamizi wa uchaguzi,sasa hilo kundi linaamuaje? Hilo kundi lingekuwa linajihusisha na siasa zenu uchwara Magufuli angepewa kura milioni 8 tu out of 20 milioni? Pamoja na wasimamizi kuwa wanachama wenu na bao la mkono juu
 
Ccm iondolewe madarakani na nani?

Chadema [emoji3][emoji3][emoji3]

Vijana acheni mbege za marangu zinaharibu ubongo
Wewe waache waendelee kujiaminisha mitandaoni kiwa Chadema itashinda 2020. Hao vijana hawafanyi hata tathmini mitaani.
 
Hatuwaombei wenzetu tunamuombea yeye binafsi ili covid impende zaidi
Ila yeye pia akiwaambia watu waombe Mungu ili hili janga la corona liondoke mnamuona analeta siasa kweye jambo la kisayansi kwamba corona haiwezi kuondoka kwa maombi,ila nyienyie tena mnaosema corona haiwezi kuondoka kwa maombi ndio mnaamini kuwa mtu anaweza kupata corona kwa maombi. Sasa nyie na Magufuli mnatofauti gani? mliomba corona ije Tz sijui mlidhani itawapata maccm tu ila mkasahau corona haichagui,sasa hivi nyie mnasema watu wanakufa serikali inaficha mara sijui Magufuli kawakimbia. Yani ni upumbavu upumbavu tu kwa aina hii ya siasa zenu,halafu bado et mnaomba corona iende chato impate Magufuli tu mshasahau tena kuwa corona haichagui.

Kwa upumbavu kama huo halafu mnalalamikia viongozi wa afrika wakati hao viongozi wanatoka kwenye jamii zetu hizihizi zenye watu wenye siasa za kuombea watu wapate corona,ndio maana mie sikumshangaa sana Polepole alivyowafananisha wapinzani na corona maana nishazoe hizi siasa zenu. Wengi mna matatizo ya akili bila kujua.
 

Tatizo sisi tunawaita washirika wetu wa maendeleo ni mambuzi dume (Ma beberu), sasa katika hali hiyo, hata kama ni wewe, utatoa msaada kweli?

Naona tupunguze tambo na kutoa kauli zenye ukakasi hadharani. mambo yetu ya chini ya kapeti yaongelewe ndani siyo hadharani
 
Waongo wengine afya zao mgogoro,wamekimbia mji. wanajua wakionjwa kidogo na corona wanakwenda na maji
Lkn hii dunia nyamaza tu

TeNda wema nenda zako usisubiri Shukrani

Huwezi amini yule aliyekuwa anasema ikifika muda flani watu watahamia vijijini kumbe yeye ndiyo kawahi huko kijiji mapemaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa ni amri yao Ccm wangeielekeza Corona kwa wapinzani tu.....ila ndio hivyo Mungu anatenda haki! Mpaka Baba J kakimbilia chaka huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya mbinu zote za kuuwa upinzani kubuma hata wanajilaza kwenye mawe kwa stress za kushindwa kuuwa upinzani huku wakifikiria mbinu mpya hii corona Ingekuwa inabebeka wallahi wangeielekezea kwa upinzani.
 
Lkn hii dunia nyamaza tu

TeNda wema nenda zako usisubiri Shukrani

Huwezi amini yule aliyekuwa anasema ikifika muda flani watu watahamia vijijini kumbe yeye ndiyo kawahi huko kijiji mapemaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine waliombea wenzao wafe wakatangulia wao.
Waliosema kufika June 2017 atakaebakia mjini ni mwanaume wamekimbia wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…