Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

Kuchukua Kadi doesn't mean we gonna vote, hapana, wanachukua na kura hawapigi. Tuwape Elimu, Siku moja wataelewa
Tena hili la kuchukuwa kadi kwa wingi ni jambo la heri kubwa kabisa. Natamani ipite kampeni ya kulazimisha watanzania wote wawe na kadi ya CCM. Hizi ni dalili za CCM kufikia mwisho wake kwa sababu watu kuwa na kadi kutawafungua vichwa zaidi.
 
Huwa nasikitikia napo mkuta kijana ana kadi ya CCM tena kijana akiwa msomi huwa namsikitikia sana yeye na kizazi chake chote.

HAJITAMBUI.
 
Yo gon
,let nstion ofKuchukua Kadi doesn't mean we gonna vote, hapana, wanachukua na kura hawapigi. Tuwape Elimu, Siku moja wataelewa
Na vote gonna vote what let the national of tommorow decide,you chademas dont have even manifestos what we will you sellto rhe people
 
Back
Top Bottom