macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Jun 16, 2024 #21 Elli said: Kuchukua Kadi doesn't mean we gonna vote, hapana, wanachukua na kura hawapigi. Tuwape Elimu, Siku moja wataelewa Click to expand... Tena hili la kuchukuwa kadi kwa wingi ni jambo la heri kubwa kabisa. Natamani ipite kampeni ya kulazimisha watanzania wote wawe na kadi ya CCM. Hizi ni dalili za CCM kufikia mwisho wake kwa sababu watu kuwa na kadi kutawafungua vichwa zaidi.
Elli said: Kuchukua Kadi doesn't mean we gonna vote, hapana, wanachukua na kura hawapigi. Tuwape Elimu, Siku moja wataelewa Click to expand... Tena hili la kuchukuwa kadi kwa wingi ni jambo la heri kubwa kabisa. Natamani ipite kampeni ya kulazimisha watanzania wote wawe na kadi ya CCM. Hizi ni dalili za CCM kufikia mwisho wake kwa sababu watu kuwa na kadi kutawafungua vichwa zaidi.
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Jun 16, 2024 #22 Huwa nasikitikia napo mkuta kijana ana kadi ya CCM tena kijana akiwa msomi huwa namsikitikia sana yeye na kizazi chake chote. HAJITAMBUI.
Huwa nasikitikia napo mkuta kijana ana kadi ya CCM tena kijana akiwa msomi huwa namsikitikia sana yeye na kizazi chake chote. HAJITAMBUI.
julaibibi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2020 Posts 3,081 Reaction score 4,224 Jun 16, 2024 #23 Yo gon Elli said: ,let nstion ofKuchukua Kadi doesn't mean we gonna vote, hapana, wanachukua na kura hawapigi. Tuwape Elimu, Siku moja wataelewa Click to expand... Na vote gonna vote what let the national of tommorow decide,you chademas dont have even manifestos what we will you sellto rhe people
Yo gon Elli said: ,let nstion ofKuchukua Kadi doesn't mean we gonna vote, hapana, wanachukua na kura hawapigi. Tuwape Elimu, Siku moja wataelewa Click to expand... Na vote gonna vote what let the national of tommorow decide,you chademas dont have even manifestos what we will you sellto rhe people
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Jun 16, 2024 Thread starter #24 Mto Songwe said: Huwa nasikitikia napo mkuta kijana ana kadi ya CCM tena kijana akiwa msomi huwa namsikitikia sana yeye na kizazi chake chote. HAJITAMBUI. Click to expand... Umaskini mbaya sana
Mto Songwe said: Huwa nasikitikia napo mkuta kijana ana kadi ya CCM tena kijana akiwa msomi huwa namsikitikia sana yeye na kizazi chake chote. HAJITAMBUI. Click to expand... Umaskini mbaya sana