UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 3,149
- 14,407
Nawashukuru sana Arsenal baada ya miaka 22 kusubiri hadi kuwa mabingwa wa kombe lenye hadhi kubwa ulimwenguni la EPL (ENGLISH PREMIER LEAGUE)
Nimefurahi mnooooo!
Arsenal imechukua ubingwa wakati ambao Chadema wanaenda kuwa mabingwa na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania
Ahsante Chadema ahsante Arsenal!
Nimefurahi mnooooo!
Arsenal imechukua ubingwa wakati ambao Chadema wanaenda kuwa mabingwa na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania
Ahsante Chadema ahsante Arsenal!