secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sana! Ndo maana tunaposhabikia kwa nguvu zote tunaomba mtuache kidogo 😂.Mbali na hayo, mmepitia kipindi kigumu sana hadi kufika leo
Sana! Ndo maana tunaposhabikia kwa nguvu zote tunaomba mtuache kidogo 😂.Mbali na hayo, mmepitia kipindi kigumu sana hadi kufika leo
Deni unalokubwa mno kaka,Hakikisha Samia na Genge lake hawaungwi mkono kwa namna yeyote ileSasa hivi hata kama nikifa Sina deni maana matamanio yangu ya kushuhudia Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL kwa mara nyingine imetimia.
Mzee Mdinyakobe Kimario natumai roho yako imefurahi huko peponi, wewe ndiye uliyenifanya niishabikie Arsenal miaka hiyoooo!
Mnastahili, wacha sie wengine tuwe busy na majukumu yetu ya kila sikuSana! Ndo maana tunaposhabikia kwa nguvu zote tunaomba mtuache kidogo 😂.
Nje na mada mwanao Seif ,pale kirando kafariki mwaka huu.Nawashukuru sana Arsenal baada ya miaka 22 kusubiri hadi kuwa mabingwa wa kombe lenye hadhi kubwa ulimwenguni la EPL (ENGLISH PREMIER LEAGUE)
Nimefurahi mnooooo!
Arsenal imechukua ubingwa wakati ambao Chadema wanaenda kuwa mabingwa na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania
Ahsante Chadema ahsante Arsenal!
Naona umefurahi sana mzee baba.Viva arsenal 🔥
Kweli kasha fariki bwana Seif (RIP)Mkuu unachosema ni kweli au unatania?
Mpaka sasa hivi nime kunywa supu bakuli 5, chapati 10+ kwa furaha 😅Naona umefurahi sana mzee baba.
Dah kweli mkuu, asante kwa kunikumbusha.Deni unalokubwa mno kaka,Hakikisha Samia na Genge lake hawaungwi mkono kwa namna yeyote ile
Hakika kaka.Mnastahili, wacha sie wengine tuwe busy na majukumu yetu ya kila siku