Sasa Chadema imeingiaje hapo?Nawashukuru sana Arsenal baada ya miaka 22 kusubiri hadi kuwa mabingwa wa kombe lenye hadhi kubwa ulimwenguni la EPL (ENGLISH PREMIER LEAGUE)
Nimefurahi mnooooo!
Arsenal imechukua ubingwa wakati ambao Chadema wanaenda kuwa mabingwa na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania
Ahsante Chadema ahsante Arsenal!
Mwaga motoooooooooooooooooooooo π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Fayaaa π₯πͺ.
Sasa hivi hata kama nikifa Sina deni maana matamanio yangu ya kushuhudia Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL kwa mara nyingine imetimia.Mwaga motoooooooooooooooooooooo π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Mkuu, Kabla ya leo ulikuwa ushawahi kuishihudia kweli arsenal akibeba ubingwa?Sasa hivi hata kama nikifa Sina deni maana matamanio yangu ya kushuhudia Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL kwa mara nyingine imetimia.
Mzee Mdinyakobe Kimario natumai roho yako imefurahi huko peponi, wewe ndiye uliyenifanya niishabikie Arsenal miaka hiyoooo!
Niliishuhudia mara ya mwisho mwaka 2004. Sijui we ulikuwa wapi kipindi kile.Mkuu, Kabla ya leo ulikuwa ushawahi kuishihudia kweli arsenal akibeba ubingwa?
Sikuwepo bado.Niliishuhudia mara ya mwisho mwaka 2004. Sijui we ulikuwa wapi kipindi kile.
Oyaa, enzi hizo Arsenal Chini ya Mzee Wenger walikuwa wanpiga mpira mtamu sana, yaani unaweza kushusha ugali kwa soka safi la Arsenal. We acha tu yaani!Sikuwepo bado.
Ndo maana siwezi kuwa shabiki wa Arsenal kivyovyote vile maana sikuwahi kuijua
Mbali na hayo, mmepitia kipindi kigumu sana hadi kufika leoOyaa, enzi hizo Arsenal Chini ya Mzee Wenger walikuwa wanpiga mpira mtamu sana, yaani unaweza kushusha ugali kwa soka safi la Arsenal. We acha tu yaani!