Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,mwacheni kawambwa wa watu. watendaji wa juu wa wizara pamoja na necta ndo wastaafishwe kwa manufaa ya umma wakisubiri uchunguzi wa kina.
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21
Hapa zomba atakuambia ni matokeo ya MoU!
asikubali kuacha kazi kwa sababu ametukanwa aache kwa sababu ameboronga kazi matusi mbona kitu kidogo sana .kawambwa be a man pleaseni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.
Wadau,
Kuna tetesi kutoka katika chungu kikuu kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru J. Kawamba ameitwa na Ikulu. Ikumbukwe kuwa huyu waziri amekuwa akilalamikiwa na jamii jinsi anavyoongoza wizara hii. Watu wengine wamekuwa wakihusisha uteuzi wake wa uwaziri na ukaribu wake na Rais wa nchi.
Lakini cha kujiuliza:
Ni kweli Waziri huyu anaweza kujiuzulu katika serikali ya kulindana?
Rais anaweza kukubali kumtoa waziri kwa sababu ya kukosa kuwajibika?
I gues this can not happen in tz! Ngoja tusubiri!
tz kila kitu kidogo tu lazima uhusishe udini udini. atokeo mabovu ni nchi nzima sioshule za kiislamu tuu.acha udiniiiiii[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[/h][h=1]CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS[/h][h=3]S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21 [/h]
Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.
Mkuu,
NECTA wanafundisha? Watendaji wa elimu wanajulikana. Ni watu wanahusika na mitaala, wizara na walimu.
tz kila kitu kidogo tu lazima uhusishe udini udini. atokeo mabovu ni nchi nzima sioshule za kiislamu tuu.acha udiniiiiii
'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.
Wadau,
Kuna tetesi kutoka katika chungu kikuu kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru J. Kawamba ameitwa na Ikulu. Ikumbukwe kuwa huyu waziri amekuwa akilalamikiwa na jamii jinsi anavyoongoza wizara hii. Watu wengine wamekuwa wakihusisha uteuzi wake wa uwaziri na ukaribu wake na Rais wa nchi.
Lakini cha kujiuliza:
Ni kweli Waziri huyu anaweza kujiuzulu katika serikali ya kulindana?
Rais anaweza kukubali kumtoa waziri kwa sababu ya kukosa kuwajibika?