Kwawamba Hatarini Kujiuzulu

Kwawamba Hatarini Kujiuzulu

Sio wongo!!! mi nitamwona ni Waukweli sana!
 
mwacheni kawambwa wa watu. watendaji wa juu wa wizara pamoja na necta ndo wastaafishwe kwa manufaa ya umma wakisubiri uchunguzi wa kina.
Mkuu,

NECTA wanafundisha? Watendaji wa elimu wanajulikana. Ni watu wanahusika na mitaala, wizara na walimu.
 
Kweli ma_Head Master waliofelisha na wao wajiuzulu
 
hapa ukimlaumu kawamba unamuonea . kwani mpo 21 na mna pata zero wote. tatizo litakuwa within


NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS

S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21
Hapa zomba atakuambia ni matokeo ya MoU!
 
ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.
asikubali kuacha kazi kwa sababu ametukanwa aache kwa sababu ameboronga kazi matusi mbona kitu kidogo sana .kawambwa be a man please
 
Kawambwa has no integrity, he should have resigned the day before yesterday, kama kweli ana dhamila ya kulinda heshima yake na ya familia yake ;otherwise kama anamgoja baba MwanaAsha ndio amfukuze hilo haliwezekani kwa sababu ya udugu wao!! Lakini Kawambwa kumbuka kuwa kwa kung'ang'ania kubakia katika hiyo wizara hautakuwa na amani.
 
Afukuzwe kwenye serikali ya nani? JK? Wewe una wazimu? JK hawezi na wala hatoweza kumfukuza mtu...JK Ni mwoga mpaka kwa kivuli chake, leo unasema ameitwa ili afukuzwe? Labda atangaze mwenyewe kujiuzulu tena bila kumshirikisha jk maana kiwango cha kulindana kiko juu sana kwa JK na wafuasi wake

Wadau,

Kuna tetesi kutoka katika chungu kikuu kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru J. Kawamba ameitwa na Ikulu. Ikumbukwe kuwa huyu waziri amekuwa akilalamikiwa na jamii jinsi anavyoongoza wizara hii. Watu wengine wamekuwa wakihusisha uteuzi wake wa uwaziri na ukaribu wake na Rais wa nchi.

Lakini cha kujiuliza:

Ni kweli Waziri huyu anaweza kujiuzulu katika serikali ya kulindana?
Rais anaweza kukubali kumtoa waziri kwa sababu ya kukosa kuwajibika
?
 
[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[/h][h=1]
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
[/h][h=3]
S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21 [/h]
Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.
tz kila kitu kidogo tu lazima uhusishe udini udini. atokeo mabovu ni nchi nzima sioshule za kiislamu tuu.acha udiniiiiii
 
.....Hawezi kumtosa Mpwa wake hata iweje!yule atakufa nae hadi siku ya mwisho wa utawala wake!amina!
 
Mkuu,

NECTA wanafundisha? Watendaji wa elimu wanajulikana. Ni watu wanahusika na mitaala, wizara na walimu.

ni sawa lakini all in all tragedy hii inahitaji udadisi wa kina na NECTA hawawezi kuwa exonerated.
 
Bora tu ajiuzulu maana J.KAWAMBWA ni janga linaloiangamiza nchi yetu katika sekta ya ELIMU.
 
Itapendeza kama akijiuzulu halafu matokeo yanatangazwa upya........................... otherwise hakutakuwa na jipya zaidi ya accountability
 
Sasa ni kipi kiko sawa chini ya Utawala wa CCM ? Tuiondoe CCM kwanza halafu yote yafuate, Tuanze maandamano mpaka msikiti wa magogoni tumwondoe huyu ambae ni kichwa halafu ifuate mikia vinginevyo Tanzania kwishney!
 
Wanapeana Wizara kisa eti wote wanatokea Bagamoyo. Kwani yy mwenyewe haoni haja na umhimu wa kuwajibika kwa hili hadi atishiwe kwa kutumiwa ujumbe?
Aisee we have a very long way to go
 
Kumbe ni kweli mimi nilisema tu nilikuwa simaanishi. sorry for any inconvenience I didnt mean to hurt you
tz kila kitu kidogo tu lazima uhusishe udini udini. atokeo mabovu ni nchi nzima sioshule za kiislamu tuu.acha udiniiiiii
 
'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.

Kumbe sio kung'atuka kwa ajili ya uwajibikaji bali "usalama wake na familia yake!" What a shame!
 
Wadau,

Kuna tetesi kutoka katika chungu kikuu kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru J. Kawamba ameitwa na Ikulu. Ikumbukwe kuwa huyu waziri amekuwa akilalamikiwa na jamii jinsi anavyoongoza wizara hii. Watu wengine wamekuwa wakihusisha uteuzi wake wa uwaziri na ukaribu wake na Rais wa nchi.

Lakini cha kujiuliza:

Ni kweli Waziri huyu anaweza kujiuzulu katika serikali ya kulindana?
Rais anaweza kukubali kumtoa waziri kwa sababu ya kukosa kuwajibika
?

Alipaswa kuwa alishajiuzuri kabla hata ya kutangaza matokeo hayo. lakini kwaajili ya ushemeji wake na kikwete na udini wao ndiyo maana unaona zengwe liataka keelekezwa kwa Dr. Ndalichako asiye husika na lolote hapo. Yeye ni mpimaji tu. Sasa wao wanataka Dr. Joyce abadilishe matokeo, hii siyo maadili mema. Kikwete muwajibishe kawambwa, acha ushemeji na udini pembeni fanyakazi uliyoapishwa kuifanya.
 
:nono: Tanzania eeeh, nchi yangu eeeh, Tanzania hii ninayoijua kujiuzuru siyo kitu lahisi namna hiyo, hizi ni ndoto za mchana, by the way haka ka upepo katapita tu, kwanza kame anza kupungua nguvu!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom