Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi chukueni hatua za kisheria dhidi ya Diamond & Zuchu

Sio shabiki wa Mondi ila hapo naona ni chuki zimetumika, tuwaonee huruma hao vijana wanatafuta rizki kwa shida sana.
Binafsi nimedeclare interest ni shabiki wa nyimbo zake sana tu, nikiwa kama shabiki wake nawezaje kuwa na chuki naye?

Hizo nyimbo za Rosa Ree mimi hata sizijui sijawahi sikia achilia mbali kuuona, ingetokea kuuona basi tungemkemea na hata kushinikiza achukuliwe hatua ikionekana kazingua.

Huo wa Zoba sikumbuki kuupa uzito miaka hiyo.

Hiyo bongo movie unayozungumzia ndo kabisa nasikia tu majina ya waigizaji yakitamkwa na wanafamilia nyumbani, sinaga muda na movies.

Hata hivyo hayo hayahalalishi ushuzi uliofanywa na hawa wawili wa WCB.

Hatuwezi kuhalalisha uhuni kama huu eti kwa sababu fulani alishafanyaga uhuni kama huu.

Ndugu zetu waislam tunawafaham vyema, ninyi imani yenu ikiguswa kidogo tu ni mapanga na tindikali.

Hebu fikiri siku inatokea msanii mkristo aigize yupo kwenye nyumba zenu za ibada anafanya mambo ya kiimani kisha punde yupo kitaa anakata vinywaji na Mshana Jr pembeni watoto wazuri na sinia la kitimoto?
 
Soko la huo wimbo liko vipi ndugu zangu??
 
Kama mtu ameiba afu kwa bahati yake hakukamatwa, haifanyi wizi kuwa halali!
 
Sio mihemuko, kaa utulize akili, Naseeb pamoja za zuhura walikaaje wakafikiria kuingia kanisani na kufanya Hilo igizo badala ya kwenda msikitini?
Ni rahisi Sana wao kwenda msikitini kwa Kua wote ni waisilamu, wakaanzaje kupata wazo la kwenda kuigizia kanisani?
Tafsiri yake ni kwamba umedharau Imani ya wenzio.
Kubalini tu kwamba mmekosea na kuomba radhi, ndio uungwana wenyewe, sio kila siku lawama kwa basata hata Kama tatizo liko kwenu.
 
Tofautisha video ya Rosa Ree ukiangalia maudhui anaonekana ni mtu aliekata tamaa na kwenda kutafuta msaada kanisani, tofauti na huyu alieanza kwa kudhihaki wimbo wa injili kisha na kutoka nje kwenda kuombwa mtaro halafu analegeza macho
 
Angejaribu kushoot msikitini ungekutwa kashachinjwa
 

Wewe sio mkristo ni mjinga tuuu
 
Mimi ni mkristo wa kanisa Lutheran. Sioni tatizo kwenye huo wimbo. Ukiambiwa usanii,zile ni tungo kwa hiyo kuna sehemu ili kufupisha au kurahisisha mashairi unaweka vifupisho ili kufanya wimbo ueleweke.

Ninachokiona hapo ni ile ile hali ya Diamond kuwindwa na wenye chuki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…