MWENDAZAKE alifikiri biashara ya ndege ni kama Bodaboda jioni unaletewa hesabu...huku kwenye ndege kunahitaji uwekezaji wa muda mrefu
EPA = Pesa iliyotolewa na Japan ili kuwezesha wajasilimali wafanye imports- procurementUnajua maana ya EPA,Escrow?
Next time ask google, simple, unatumia google for only seeing "porn"?Unajua maana ya EPA, Escrow?
tupe hasara ya ndege za emirates na utupe hasara za ndege ya Qatar air, kama kuendesha ndege ni hasara kampuni mbili hizi zingeuza ndege zake
Biashara ya ndege haikwepeki japokuwa huwa tunapenda kuipaka matope kwa hizi siasa zetu nyepesi za humu jukwaani.Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na viongozi wakuu wa shirika la ndege la kimarekani la Delta katika mpango wa kuwauzia hisa zote 48.9% zinazomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye shirika hilo.
Kenya Airways imekuwa ikitegemea hazina ya Kenya kuweza kujiendesha huku kipindi cha Januari-Juni ikiwa imerekodi hasara ya dola milioni 82 na kipindi kama hicho 2021 kikitoa hasara dola milioni 95.8.
Kwa upande wa Tanzania, ripoti ya mwisho inayopatikana inasema ATCL imepata hasara ya TZS bilioni 36 mwaka 2020/21 kutoka bilioni 60 mwaka 2019/20. Kwasasa shirika hilo ndege zake kubwa inazoziendesha zimepumzishwa huku moja ikishikiliwa kwa madeni.
Serikali chini ya Rais Magufuli iliamua kulifufua shirika la ndege la Tanzania lililokuwa hoi bin taaban kwa kununua ndege mpya na kuliazima shirika hilo.
Wazikodishe kwa precision, kwanini Precision air wameweza?Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na viongozi wakuu wa shirika la ndege la kimarekani la Delta katika mpango wa kuwauzia hisa zote 48.9% zinazomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye shirika hilo.
Kenya Airways imekuwa ikitegemea hazina ya Kenya kuweza kujiendesha huku kipindi cha Januari-Juni ikiwa imerekodi hasara ya dola milioni 82 na kipindi kama hicho 2021 kikitoa hasara dola milioni 95.8.
Kwa upande wa Tanzania, ripoti ya mwisho inayopatikana inasema ATCL imepata hasara ya TZS bilioni 36 mwaka 2020/21 kutoka bilioni 60 mwaka 2019/20. Kwasasa shirika hilo ndege zake kubwa inazoziendesha zimepumzishwa huku moja ikishikiliwa kwa madeni.
Serikali chini ya Rais Magufuli iliamua kulifufua shirika la ndege la Tanzania lililokuwa hoi bin taaban kwa kununua ndege mpya na kuliazima shirika hilo.
Unataka kusema Mbeya hakuna abiria wa kutosha?Binafsi sipingi kununua ndege kwani nayo ni kama nembo ya Nchi ila cha muhimu
Kuendesha Shirika la ndege kunahitaji watu wa marketing ambao ni creative, aggressive na profit oriented na wanaofanya maamuzi ya haraka na sio kuendelea kupeleka ndege kwenye miji/viwanja vya ndege ili kufurahisha watu na sio kupata faida
Tunahitaji watu ambao ni very creative na focused kwenye Biashara na sio hawa wa kucopy na kupaste
Muhimu zaidi; huwezi kuendesha Biashara ya ndege ya kimataifa bila kupata Wabia mathubuti (code share)
Yaani unapokea wageni wa ndege A unawapeka sehemu B. na ndicho kenya wamefanya (ila tofauti yake ni kuwauzia kabisa hisa?) Ukijifanya kusimama kivyako vyako, hutoboi...
ATC Ikiwashinda waipe private sector waone kama haitasimama ila wajue kwa Tanzania route zitabakia kama tatu tu ambazo zinafaida kubwa inayomezwa na route nyingine zisizokuwa na abiria/zinazoendeshwa kwa hasara kubwa. Route zitakazobakia ni
1. Kilimanjaro/Arusha to Dar, 2. Dar to Mwanza 3. Dar/Dodoma to Kigoma
Kuna sehemu nimesema ni jambo baya mkuu? Nimesema biashara ya kuendesha shirika la ndege ni ngumu na dunia nzima mashirika mengi ya ndege yamekuwa yanapambana na hasara zisizoisha. Air Tanzania ilijiunga na SAA lakini ngoma ikaishia pabaya.Ni Habari njema, huoni kuwa ni Maendeleo? Delta waki-invest Kenya Airways how big the airline will be? More revenue for Kenya, bigger worforce guaranteed by first World Economy growth! Stop your communist Thinking! The biggest investor in China is also US of America, what is your problem?
Fikra za mwenyekiti zimewaharibu bongo zenu, you need change, Serikali haiwezi kufanya biashara iwaachie wananchi!!!
You are right!Kuna sehemu nimesema ni jambo baya mkuu? Nimesema biashara ya kuendesha shirika la ndege ni ngumu na dunia nzima mashirika mengi ya ndege yamekuwa yanapambana na hasara zisizoisha. Air Tanzania ilijiunga na SAA lakini ngoma ikaishia pabaya.
Kudondoka fastjet ilikuwa makosa makubwa kwani tayari ilikuwa imeshasimama, bora Serikali wangewakopesha waimarike Zaidi..
Service nzuri ni marketing tosha. Kwa kweli abiria wanapanda ATCL kwa kuwa hamna option. Kama fastjet angekuwepo hadi sasa ATCL wangekuwa wansafirisha viongozi wa serikali pekee.Binafsi sipingi kununua ndege kwani nayo ni kama nembo ya Nchi ila cha muhimu
Kuendesha Shirika la ndege kunahitaji watu wa marketing ambao ni creative, aggressive na profit oriented na wanaofanya maamuzi ya haraka na sio kuendelea kupeleka ndege kwenye miji/viwanja vya ndege ili kufurahisha watu na sio kupata faida
Tunahitaji watu ambao ni very creative na focused kwenye Biashara na sio hawa wa kucopy na kupaste
Muhimu zaidi; huwezi kuendesha Biashara ya ndege ya kimataifa bila kupata Wabia mathubuti (code share)
Yaani unapokea wageni wa ndege A unawapeka sehemu B. na ndicho kenya wamefanya (ila tofauti yake ni kuwauzia kabisa hisa?) Ukijifanya kusimama kivyako vyako, hutoboi...
ATC Ikiwashinda waipe private sector waone kama haitasimama ila wajue kwa Tanzania route zitabakia kama tatu tu ambazo zinafaida kubwa inayomezwa na route nyingine zisizokuwa na abiria/zinazoendeshwa kwa hasara kubwa. Route zitakazobakia ni
1. Kilimanjaro/Arusha to Dar, 2. Dar to Mwanza 3. Dar/Dodoma to Kigoma
Mkuu kwa hiyo unataka kusema enzi za JPM ATCL ilikuwa haipati hasara, au sijakuelewa!Wewe mjinga makufuli aliiweza biashara ya ndege ilikuwa hakuna janja janja wala delay wala kiongozi kutumia ndege kama yake. Itakuwaje hakuna hasara? Maana anaenda Dodoma anarudi Dar kaenda tena Dodoma mara karudi Dar tena yupo peke yake unajua trip moja ya kwenda Dodoma inakula kiasi gani?
Bado makamu wa Rais nae yuko kule na huku wamegawana ndege unajua hasara yake? Hasara yoote bado wanaileta kwa JPM kumsingizia hasara kaleta yeye shubamit.
Chuki zako kwa marehemu hazitakusaidia kutatua matatizo yako we panyaSasa akutajie hiyo masters yake alichosomea ulaya utacheka ufe, hata ufanye mazoezi wiki huwezi kutamka.
Naunga mkono serikali haiwezi kufanya biashara. Wapewe wananchi serious kama Bakhressa alivyopewa NMC mbona maisha yanaenda na hakuna kelele, watu waambie ukweli ujamaa umeshindikana. Cabin crews watashona uniforms Indonesia kwa per diem za serikali kesho sijui nini? .kuna shirika private linaenda hivyo? CAG atahesabu hasara kila mwaka.Ni Habari njema, huoni kuwa ni Maendeleo? Delta waki-invest Kenya Airways how big the airline will be? More revenue for Kenya, bigger worforce guaranteed by first World Economy growth! Stop your communist Thinking! The biggest investor in China is also US of America, what is your problem?
Fikra za mwenyekiti zimewaharibu bongo zenu, you need change, Serikali haiwezi kufanya biashara iwaachie wananchi!!!
Kwanza sipo Mbeya lakini naangalia Mbeya ni jijiTunaenda kwa Data; Ingia online
Tafuta seat za kutoka hayo maeneo niliyopendekeza kuanzia kesho tar 21 Dec hadi 26 Dec kama utapata seat ngapi zimebaki; Ila ukitafuta seat ya kutoka mbeya kuja dar, hata seat za leo unapata
Ninachomaanisha, Mbeya abiria wapo ila huwezi kulinganisha na huko nilikotaja LAKINI sipingani na wewe kwani ikionekana panalipa patakuwepo. Suala hapa nikufanya Kibiashara na sio kupeleka ndege ya abiria 78 ipate abiria 12 na hivyo kuishia kula faida yote iliyopatikana route zingine
Uko sahihi kabisa kwa mtazamo wako, Air Tanzania inatakiwa ijiendeshe kibiashara!, Inatakiwa iwe na board na management inayoelewa mambo ya usafiri wa anga. Hii habari ya wanasiasa kuingiza mikono kwenye chungu cha kitaaluma ndio chanzo cha kufeli hasa kwenye biashara ya inayohusisha ndege.Binafsi sipingi kununua ndege kwani nayo ni kama nembo ya Nchi ila cha muhimu
Kuendesha Shirika la ndege kunahitaji watu wa marketing ambao ni creative, aggressive na profit oriented na wanaofanya maamuzi ya haraka na sio kuendelea kupeleka ndege kwenye miji/viwanja vya ndege ili kufurahisha watu na sio kupata faida.
Tunahitaji watu ambao ni very creative na focused kwenye Biashara na sio hawa wa kucopy na kupaste
Muhimu zaidi; huwezi kuendesha Biashara ya ndege ya kimataifa bila kupata Wabia mathubuti (code share)
Yaani unapokea wageni wa ndege A unawapeka sehemu B. na ndicho kenya wamefanya (ila tofauti yake ni kuwauzia kabisa hisa?) Ukijifanya kusimama kivyako vyako, hutoboi.
ATC Ikiwashinda waipe private sector waone kama haitasimama ila wajue kwa Tanzania route zitabakia kama tatu tu ambazo zinafaida kubwa inayomezwa na route nyingine zisizokuwa na abiria/zinazoendeshwa kwa hasara kubwa. kwa mtazamo wangu, route zenye faida kubwa ni;
1. Kilimanjaro/Arusha to Dar, 2. Dar to Mwanza 3. Dar/Dodoma to Kigoma na pengine moja ya kusini.
kuhusu suala la ndege wewe ndio una low IQ kufufua shirika sio kukariri ila kukukomboa wewe usiekuwa na akili na kudhani kitu kikiwa kigumu hakitakiwi kufanywaMagufuli alikuwa na low IQ, alidhani kila kitu ni kukariri kama kemia.
yani wabongo bwana na ndio mana mnajikuta mtaani mnafungua biashara ya aina moja kisa jirani kakwambia inalipa kakupigia na hesabu za uongo na kweli,suala la ndege kwa Taifa ni la msingi sana wakulaumiwa ni walioliua na kushindwa kulisimamia na sio kulaumu au kuamini kwa sababu ni ngumu lisifanyikeIlikuwa ni hitaji la mwendazake na sio watz
Magufuli was a country bumpkin.Magufuli alikuwa na low IQ, alidhani kila kitu ni kukariri kama kemia.