UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwa sababu hujaweza kulithibitisha beyond a reasonable degree of doubt.
Kwani Imani maana yake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu hujaweza kulithibitisha beyond a reasonable degree of doubt.
Rejea katika Biblia Takatifu.
( Mwanzo 1 : 27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. )
Mungu akaumba mtu = Maana yake Mungu alianza kuumba roho ( mtu/me au ke )..
( Mwanzao 2 : 7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai. )
[ Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi = Mungu akafanya mwili yaani akatengeneza mwili kwa mavumbi ], [ akampulizia puani pumzi ya uhai = Roho aliyo ifanya akaiweka ndani ya mwili alio utengeneza kwa mavumbi ] ndipo mtu akawa nafsi hai.
Sisi wanadamu ni roho ki uharisia, na ndio maana mwanadamu anauwezo wa kwenda katika ulimwengu wa Roho au kua katika hali ya ulimwengu huu wa kawaida. Unaweza ona namna Yohana Mtume katika kitabu cha ufunuo.
Na kama tujuavyo ya kua Mungu ni Roho ndio maana akasema
( Mwanzo 1 : 26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. )
Na mwili ulio undwa kwa mavumbi ndio una mfanya mwandamu kua halali katika dunia hii, maana viumbe wote walio Roho pasipo na mwili ni ilegal hapa duniani.
Haya ni kwa mujibu wa Biblia, kwa namna nyingine sifahamu.
siwezi kusema Mungu yupo kwasababu siwezi kuthibitisha ila uwezo wake upo ndani yetu kupitia the mind underneath conscious mind (roho)
Wanasayansi wamefanya mambo makubwa sana kwa kutumia uwezo huo na ndo maana nikasema kuna cause (thought) and effect
the world within and the world without
action (thought) and reaction.
the reaction comes from roho when you concentrate deeply.
Kwani Imani maana yake nini?
Ni vigezo gani hivyo Mkuu? (kwa upande wa binadamu)
Mkuu, ni vile vinavyofanya viumbe aina yetu vitambulike kuwa binadamu, na si sokwe, mti, hewa wala maji.
Ukamilifu wa vigezo hivyo ndio roho. Mfano, mfikirie sokwe awezavyo kutenda mengi nitendayo mimi na wewe leo, still lacks Ukamilifu wa kumfanya aitwe binadamu, ukamilifu alionao ndio umfanyao ajulikane kuwa sokwe.
Anaita sasa!
Naomba maana ya haya maneno:
Nafsi,Roho,Uhai.
Kwa nini ukamilifu huo uwe roho na si kukomaa mawazo na ubongo tu?
After all, mtoto mdogo wa binadamu anaweza kuwa hana akili ya kuweza kufanya mengi ambayo sokwe mkubwa anaweza kufanya.
Hapo utasemaje? Huyu mtoto mdogo wa binadamu hana roho kumzidi huyo sokwe?
Mkuu hukunielewa, Ukamilifu huu simaanishi being perfect (nilishasema), sio perfection. Ni ule wa robo nne za unga hukamilisha kilo 1 ya unga, haijalishi huo unga una wadudu au msafi.
Anaita sasa!
Post yangu uliyoi-qoute haihusiani na madai yako hayo.Kwa nini ukamilifu huo uwe roho na si kukomaa mawazo na ubongo tu?
After all, mtoto mdogo wa binadamu anaweza kuwa hana akili ya kuweza kufanya mengi ambayo sokwe mkubwa anaweza kufanya.
Hapo utasemaje? Huyu mtoto mdogo wa binadamu hana roho kumzidi huyo sokwe?
Please stop with the sophistry. If you are ready to suffer intellectual defeat, refute the thread with evidence and not brainless and mindless silly non theistic self defeat talks.
Your denial is empty. You can refute nothing. Now where is your evidence and diabolical arguments to justify your belief that No Spirit exists?
By the way, according to non theism, you are just a chemical animal that has no morals, so , why waste your time since no life exist in chemical animals?
Nimekuambia hujanielewa vizuri. Njema, ngoja nikujibu inavyostahili.
Post yangu uliyoi-qoute haihusiani na madai yako hayo.
Anaita sasa!
Hata infant wa siku moja anaitwa binadamu, ni kwa kuwa ana Kutimia kwa vigezo vya kuitwa binadamu. Awe mtoto au mzee, kijana au mtu mzima, ni binadamu. Ni ile hali ya kutimia kwa vigezo/ukamilifu.Umesema ukamilifu ni roho. Nikakuuuliza kwa nini ukamilifu uwe roho na si kukomaa maqazo na ibongo tu?
Hujajibu hili swali.
Hata infant wa siku moja anaitwa binadamu, ni kwa kuwa ana Kutimia kwa vigezo vya kuitwa binadamu. Awe mtoto au mzee, kijana au mtu mzima, ni binadamu. Ni ile hali ya kutimia kwa vigezo/ukamilifu.
Niambie wewe sasa, ukamilifu unakosa vigezo gani vya kutostahili kuitwa roho?
Kukomaa kwa mawazo na ubongo hakufanyi kiumbe kiwe-identified the way it is, mtoto mdogo na mtu mzima wote ni binadamu tu, naye sokwe hata awe amekomaaje akili, kuzdi baadhi ya binadamu, hawezi kutimiza vigezo vya kuitwa binadamu au mti, atabaki kuwa sokwe tu.
Anaita sasa!
Hivi ukiambiwa umefanana na baba yako halafu baba yako akawa ni hakimu na wewe utakuwa ni hakimu?Kusema mungu aliumba mwanaadam kwa mfano wake ni makosa. Inamaana watu dhurma, majambazi, vibaka na majambazi pia ni mfano wake mungu?
Binadamu ambae anafikiri vizuri hawezi kusema kitu fulani hakipo kwasababu tu hajawahi kukiona au hakina ushahidi bali husema hajui kama kipo au hakipoNi sawa na nikikwambia binadamu ana macho matatu, halafu ukibisha nitake tena wewe ndio unithibitishie hana hilo jicho la tatu ambalo wewe hulioni
I told you the thing doesn't exist at all
Kwani Imani maana yake nini?