Kweli binadamu ana 'roho'? Iko sehemu gani hasa mwilini?

Kweli binadamu ana 'roho'? Iko sehemu gani hasa mwilini?

Ahsante Mkuu, ila niseme tu umeniongezea maswali. Kwa hiyo roho ni hali na siyo kitu?
Na kwa mfano tu, inamaana mimi ni binadamu mkamilifu kwa sababu nina uhai? Na waliotangulia mbele za haki ni binadamu wasio na ukamilifu?

Mkuu, ngoja niweke katika lugha hii. Ili kiumbe chochote kiwe identified the way it is, kuna hali ya kutimia kwa vigezo vinavyofanya hicho kiumbe kitambulike hivyo. Ukamilifu-Kutimia kwa vigezo.

Hali hiyo ya kutimia kwa vigezo(ukamilifu), inapofanya kiumbe kitambulike kuwa hai, huitwa ROHO.
Anaita sasa!
 
roho =nguvu which has infinite intelligence!

Bila shaka Mkuu.
Kutimia huku kwa vigezo kunakoitwa roho kwa viumbe hai(kiimani), kuna nguvu ya utendaji(force), na unapotazama matokeo ya utendaji wake, tunagundua kuwa kuna intelligence ndani yake.
Anaita sasa!
 
wewe peke yako ndo upo limited

at least ninety percent of our mental life is the mind underneath conscious mind (roho) so those who fail to use that mental power [inner power] live within very narrow limits.[/QUOtes
In this statement of yours, I can rise questions which it seems you take them for granted.
first. where is it that conscious mind? proof to me beyond doubt that 90% your mental life is the mind. What is the mind and what is being conscious.
If you say the soul is the same with conscious-mind does it mean that when we are unconscious state,our soul has gone somewhere.
 
Nimekuuliza hayo maswali ili uache majibu yako yakubabisha.

nimekuuliza huruma hekima na hasira zinakaa wapi katika mwili wa binadamu wewe unalitea jibu jepesi

eti vinakaa kwenye mawazo vikiongozwa na ubongo??

mawazo ni mkusanyiko wa huruma,hekima na hasira, nikakuuliza tena mawazo yakaa wapi? katika mwili wa binadamu bado hujanijibu.

tabia yako yakujibu majibu mapesi imenifanya nijitoe ufahamu nikawa kama wewe,

nikajibu roho ni nafsi inayoogozwa na moyo, ukaja na maswali lukuki ambayo kwa hali ya kwawaida hata wewe huwezi kuyajibu

maswali yako yanafanana na haya

kwa nini binadamu anatembea kwa kutumia miguu? kwa nini hatumii kichwa, swali kama hili wewe utalijibuje?

tukirundi kwenye mada.
roho ni pumzi inayomwezesha mtu kuishi(kwa maana nyingine roho ni uhai) mtu akifa pumzi hiyo hurundi kwa mungu.

Superman jibu lako hili hapa .
 
Last edited by a moderator:
wewe peke yako ndo upo limited

at least ninety percent of our mental life is the mind underneath conscious mind (roho) so those who fail to use that mental power [inner power] live within very narrow limits.[/QUOtes
In this statement of yours, I can rise questions which it seems you take them for granted.
first. where is it that conscious mind? proof to me beyond doubt that 90% your mental life is the mind. What is the mind and what is being conscious.
If you say the soul is the same with conscious-mind does it mean that when we are unconscious state,our soul has gone somewhere.

when you are unconscious state your soul becomes idle most of the time except night utakapoanza kuota ndoto

If your conscious enough you can use your soul any time and as a result you can be supermen!

maswali mengine nimejibu pitia comment zangu kwanza alafu tuendelee!
 
Mkuu, ngoja niweke katika lugha hii. Ili kiumbe chochote kiwe identified the way it is, kuna hali ya kutimia kwa vigezo vinavyofanya hicho kiumbe kitambulike hivyo. Ukamilifu-Kutimia kwa vigezo.

Hali hiyo ya kutimia kwa vigezo(ukamilifu), inapofanya kiumbe kitambulike kuwa hai, huitwa ROHO.
Anaita sasa!

Ni vigezo gani hivyo Mkuu? (kwa upande wa binadamu)
 
How can you exhibit that to be a fact and not a fanciful wishful thinking?

We know that the universe is governed by law, that for every effect there must be a cause.

This must necessarily be true, otherwise the universe would be a chaos instead of a cosmos!
 
roho ni nguvu (invisible force) haipo ndani ya mwili wala nje it is omnipresent, omnipotent and omniscient.

It regulates heart beat

when employed it can work!
I see, atleast we can get somewhere, kwa hiyo roho yangu kwa mfano, haipo ndani ya mwili wangu, wala nje ya mwili wangu, hii inakuwaje?
Kabla sijakuuliza kuhusu hizo omn's
 
Na mimi nitamtupia huko muda sio mrefu, maana hakuna anachoweza kuelezea zaidi ya kutukana tu, mara you are silly, you are mindless na maneno mengine ambayo hayatoi ufafanuzi wowote wa tunachokijadili, kwa hiyo to argue with such people, is to waste valuable time.

Fact jamaa kazi kushambulia atheists tu hana maelezo wala point muhimu
 
Haya sawa Superman naomba unipe maoni, uelewa na mtazamo wako kuhusu roho.

Most people understand this word "God" to mean something outside of themselves, while exactly the contrary is the fact. It is our very life. Without it we would be dead. We would cease to exist.

The minute the spirit leaves the body we are as nothing.
Therefore, spirit is really all there is of us

Now, the only activity which the spirit possesses is the power to think.

Thought must be creative, because spirit (roho) is creative

This creative power is impersonal and your ability to think is your ability to control it and make use of it for the benefit of yourself and others.
 
Last edited by a moderator:
We know that the universe is governed by law, that for every effect there must be a cause.

This must necessarily be true, otherwise the universe would be a chaos instead of a cosmos!

Firstly, that only points to a cause, not that that cause is god.You still have to show why that cause is god and only god but not only not anything else but never anythinb else.

Secondly, relativity breaks down the universal arrow of time.

Thirdly, quantum theory exposes us to the idea that the effect can exist before the cause.

Fourthlu, Heisenbergs Unvertainty Principle points to the futility of gauging a non probabilistic world.

Do you understand what that means and how it invalidates your argument on multiple levels?
 
ndiyo binadamu ana roho.

kuna mind 2 kwenye mwili wa binadamu

conscious mind ni mind ambayo unaitumia daily katika kufikiri na kuongea it is non creative it is but a mimic!

alafu kuna mind ambayo ipo underneath your conscious mind ambayo ndo roho sasa! it is very creative it knows the past, present and future; it regulates the beating of your heart, the breathing of your lungs and all the processes of digestion and assimilation. The conscious mind (non creative) takes its life from this mind (roho).

roho haipo ndani ya mwili wala nje ya mwili it is omnipresent, omnipotent and omniscient.

Mtu akifa roho inaishi katika ulimwengu wa roho (universal).

Your spirit is not omnipresent nor omnipotent nor omniscient. In fact, you are the Spirit having a Soul and living in the body.

When your spirit is absent from your body, then your body becomes dead.

Your spirit is the person.
 
roho =nguvu which has infinite intelligence!
Not true.

Your spirit is not "power" as you construed above, in contrasts, you are the spirit person. To be more precise, you are the spirit having a soul and living in the body.

That means, you are not the body that having a spirit and soul.
 
when you are unconscious state your soul becomes idle most of the time except night utakapoanza kuota ndoto

If your conscious enough you can use your soul any time and as a result you can be supermen!

maswali mengine nimejibu pitia comment zangu kwanza alafu tuendelee!

Let me break down the human body, soul and spirit and their functions.

I will use the infallible word: Mark 1, And you shall love the Lord your God with all your heart, and with all your soul, and with all your mind, and with all your strength.'

Your Spirit Person- relates to God – our comprehension and or our God consciousness or our awareness of God. We relate to God through our Intuition (insight, our instantaneous comprehension); our conscience (inner moral self, knowledge or feeling of right and wrong); and by communion (sharing together, fellowship, interchange of thoughts or interests; a state of giving and receiving; agreement; a personal relationship).

2) Your Soul that lives in your body- relates to others – our personality or self-awareness; our relationship with others; our mind, emotions and will.

3) Your Body that having Soul and the Spirit- How we "THE SPIRIT YOU" relate to the things around us through our senses of sight, sound, smell, taste, and touch.

Our human nature is to judge people by their looks, but true knowledge only comes through relationship; spirit to spirit.
 
roho ni nguvu (invisible force) haipo ndani ya mwili wala nje it is omnipresent, omnipotent and omniscient.

It regulates heart beat

when employed it can work!
Your spirit is the essence and intellect of your being, inter-alia, without the presence of the spirit and soul, your body could and/or would not live.
 
Back
Top Bottom