Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Du ya leo kali
yaaani Member wote wanatoka nje ya Mada
ROHO /SOUL
hivi ng'ombe na ROHO
hivi kunguni mgomba mti mbu na viumbe wengine wana ROHO
Na TUMUUMBE BINADAMU KWA MFANO WETU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Du ya leo kali
yaaani Member wote wanatoka nje ya Mada
ROHO /SOUL
hivi ng'ombe na ROHO
hivi kunguni mgomba mti mbu na viumbe wengine wana ROHO
Na TUMUUMBE BINADAMU KWA MFANO WETU
How can i give scientific evidence to something not exist at all?Give us scientific evidence to support your words and or refute the thread scientifically, in contrast, according to non theism, humans are chemical animals, and chemical animals can not die but change into another form of chemical.
What happened when people dies?
How can i give scientific evidence to something not exist at all?
Dying is a process, in general its a process where body shut down
kila kitu chenye pumzi kina roho.
Roho ni pumzi uliyo nayo iyo ndo inakupa kiburi
.....kwa utafiti wangu roho ipo kwenye vitals organ, ambavyo ni ubongo,moyo,mapafu, ini na tumbo. Hivi vitu vimeshikilia roho.
Kimojawapo kisipofanya kazi hapo ndio mwisho wako umefika.
.....mimi nafahamu roho=uhai
Roho ni nini?, inakaa wapi katika mwili wa binadamu na kazi yake ni nini?
Akimaliza kujibu swali lako.
Ajiulize mawazo yanakaa sehemu gani katika mwili
Roho ni nini? Kama ipo at all.
Ukiwa unajiangalia kwenye kio sura yako iko ndani ya kio au nje ya kio?????,huo ndio mfano harisi wa roho na mwili!!
the mind underneath conscious mind
human beings cannot have an answer on such question,because we a limited in terms of what we can know. Therefore,no one can give a rational account either to deny or affirm the existence of the soul.
Ulivyojibu na mimi naweza kukukijibu kama ifatavyo.
Roho ni nafisi inayoogozwa na moyo.
sidhani utakuwa umenielewa.
Roho ni uhai kwa maana nyingine....
Lakini pia ukijifunza roho ni nini utajua kwamba roho haiko limited na time and space kwa maana kuwa inaweza kuwepo hapa na kule na kwingine pia na haya yako proved na sayansi
Nadhani ulishapitia mambo ya quantum physics na quantum mechanics .......!!
mawazo ni nini ?
ROHO=UKAMILIFU.
Mkuu wangu, labda nifikishe tafakari hii kwenu. Roho ni UKAMILIFU (sio perfectness). Kinachofanya uitwe binadamu, mnyama, kiti, ulimwengu, maji, upepo, n.k. Tofauti ni kwamba, zipo roho hai na roho mfu pia, yaani ukamilifu katika viumbe hai na ule wa viumbe visivyokuwa hai.
Anaitwa binadamu, kuku au panga, ni kwa sababu vimefikia ukamilifu wao wa kuitwa hivyo. Chuma bado kwa muhunzi ni chuma tu, kikishatoka ni jembe, panga au kisu,n.k.
Katika viumbe hai(wanyama), uhai ndio the most valuable element ya ku-determine Ukamilifu wa hicho kiumbe!
Wakati katika viumbe visivyokuwa hai mambo kama size, shape, number, ...hu-determine ukamilifu wa kitu. Jabali, jiwe, kokoto, mchanga, vumbi... Mti, mbao, kiti,n.k. Mbao zinafikia UKAMILIFU fulani ziitwe meza au kiti au kabati, n.k.
Nimewasilisha!
Anaita sasa!