Kweli binadamu ana 'roho'? Iko sehemu gani hasa mwilini?


Kusema mungu aliumba mwanaadam kwa mfano wake ni makosa. Inamaana watu dhurma, majambazi, vibaka na majambazi pia ni mfano wake mungu?
 
Hili swali ni gumu na ni ngumu kupruve ktk physical way but mambo ya rohoni hufichika ktk roho angali muvi inaitwa God is not dead utaelewa it was the battle between a prof and his student the prof didnt believe that God exist while his student believe
 

Trust me God is there i can prove this to you if you are ready
 
Ni vigezo gani hivyo Mkuu? (kwa upande wa binadamu)

Mkuu, ni vile vinavyofanya viumbe aina yetu vitambulike kuwa binadamu, na si sokwe, mti, hewa wala maji.

Ukamilifu wa vigezo hivyo ndio roho. Mfano, mfikirie sokwe awezavyo kutenda mengi nitendayo mimi na wewe leo, still lacks Ukamilifu wa kumfanya aitwe binadamu, ukamilifu alionao ndio umfanyao ajulikane kuwa sokwe.
Anaita sasa!
 

Kwa nini ukamilifu huo uwe roho na si kukomaa mawazo na ubongo tu?

After all, mtoto mdogo wa binadamu anaweza kuwa hana akili ya kuweza kufanya mengi ambayo sokwe mkubwa anaweza kufanya.

Hapo utasemaje? Huyu mtoto mdogo wa binadamu hana roho kumzidi huyo sokwe?
 
Naomba maana ya haya maneno:
Nafsi,Roho,Uhai.

1. Uhai ni hali ya utendaji kwa viumbe hai. The state of being active.

2. Nafsi ni ile hali ya kumiliki mwili/state of possesing body. What makes you, what makes him. What makes me.

3. Roho. Ni ukamilifu/kutimia kwa vigezo (kiimani ni kwa viumbe hai) kunakofanya kiumbe kiwe identified the way it is. Ni kiini cha viumbe(kiimani ni viumbe hai). Kiini cha idenification of living creatures. Kwanini binadamu na si sokwe au kima!

Anaita sasa!
 

Mkuu hukunielewa, Ukamilifu huu simaanishi being perfect (nilishasema), sio perfection. Ni ule wa robo nne za unga hukamilisha kilo 1 ya unga, haijalishi huo unga una wadudu au msafi.
Anaita sasa!
 
Mkuu hukunielewa, Ukamilifu huu simaanishi being perfect (nilishasema), sio perfection. Ni ule wa robo nne za unga hukamilisha kilo 1 ya unga, haijalishi huo unga una wadudu au msafi.
Anaita sasa!

Hujajibu swali uliloulizwa, na ulilojibu hujaulizwa.
 
Nimekuambia hujanielewa vizuri. Njema, ngoja nikujibu inavyostahili. Post yangu uliyoi-qoute haihusiani na madai yako hayo.
Anaita sasa!
 

Ni sawa na nikikwambia binadamu ana macho matatu, halafu ukibisha nitake tena wewe ndio unithibitishie hana hilo jicho la tatu ambalo wewe hulioni
I told you the thing doesn't exist at all
 
Nimekuambia hujanielewa vizuri. Njema, ngoja nikujibu inavyostahili.
Post yangu uliyoi-qoute haihusiani na madai yako hayo.
Anaita sasa!

Umesema ukamilifu ni roho. Nikakuuuliza kwa nini ukamilifu uwe roho na si kukomaa maqazo na ibongo tu?

Hujajibu hili swali.
 
Kama roho ipo, unaweza kuthibitisha?

Kama huwezi, unajuaje kwamba ipo?
 
Umesema ukamilifu ni roho. Nikakuuuliza kwa nini ukamilifu uwe roho na si kukomaa maqazo na ibongo tu?

Hujajibu hili swali.
Hata infant wa siku moja anaitwa binadamu, ni kwa kuwa ana Kutimia kwa vigezo vya kuitwa binadamu. Awe mtoto au mzee, kijana au mtu mzima, ni binadamu. Ni ile hali ya kutimia kwa vigezo/ukamilifu.

Niambie wewe sasa, ukamilifu unakosa vigezo gani vya kutostahili kuitwa roho?
Kukomaa kwa mawazo na ubongo hakufanyi kiumbe kiwe-identified the way it is, mtoto mdogo na mtu mzima wote ni binadamu tu, naye sokwe hata awe amekomaaje akili, kuzdi baadhi ya binadamu, hawezi kutimiza vigezo vya kuitwa binadamu au mti, atabaki kuwa sokwe tu.

Anaita sasa!
 

"Ukamilifu" ni nini?
 
Kusema mungu aliumba mwanaadam kwa mfano wake ni makosa. Inamaana watu dhurma, majambazi, vibaka na majambazi pia ni mfano wake mungu?
Hivi ukiambiwa umefanana na baba yako halafu baba yako akawa ni hakimu na wewe utakuwa ni hakimu?

Pamoja na mfano huo kuweza kukusaidia kuona makosa yako ya kufikiri lakini bado mfano huo hauwezi kukusaidia kujua Mungu amefanana na binadamu kwa namna gani!
 
Ni sawa na nikikwambia binadamu ana macho matatu, halafu ukibisha nitake tena wewe ndio unithibitishie hana hilo jicho la tatu ambalo wewe hulioni
I told you the thing doesn't exist at all
Binadamu ambae anafikiri vizuri hawezi kusema kitu fulani hakipo kwasababu tu hajawahi kukiona au hakina ushahidi bali husema hajui kama kipo au hakipo

Huyu anatafakari vizuri sana kwasababu hana ishahidi either way

Lakini wewe unaesema hakuna hiyo inakuwa inamaana kwamba tayari unaushahidi wa kilichokufanya useme hakuna na hiki ndio kinachohitajika hapa

Unasemaje hakuna bila kutupa ushahidi wa hakuna yako?

Sijui kama umeona matatizo ya mtazamo wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…