Kweli binadamu ana 'roho'? Iko sehemu gani hasa mwilini?

Kweli binadamu ana 'roho'? Iko sehemu gani hasa mwilini?

Imani sio wewe kuamini mtu fulani atapona ni uyo mtu fulani kuamini hivyo ungeelewa vizuri maelezo yangu hapo juu hasa number 1 usingeniuliza swali hili.

Watu waliamini Dr Slaa atashinda! je yeye Dr Slaa aliamini nini? nobody knows! lakini matokeo yata/yalidhihirisha kuwa imani yake ilikuwa strong or weak!

Watu waliamini mtu fulani atafaulu je huyo mtu fulani nani anayejua alichoamini? his thought and feelings (emotion)?

Hayo unayoyaeleza wewe hayaendani na tafsiri yako uliyotoa kuhusu imani,kuna mambo unayaeleza ambayo hayahusiani na hapa.
 
Binadamu Hana roho
Binadamu ndio roho
Binadamu Ana mwili Na akili
Tumeelewana?
 
Kilichopo kimoja Kati Ya binadamu Na Mungu ni roho
Roho ndio binadamu
Binadamu Ana mwili
Roho ni Mungu
Mungu ni roho
Binadamu ni Mungu
But mwili Sio Mungu
Wala akili sio Mungu
Utambuzi wa roho ni utambuzi wa Mungu
Ndio mana yesu alisema yupo ndani Ya baba Na baba yupo ndani yake
Coz alitambua uwepo wa roho
Ambao ni uwepo wa Mungu
 
.....kwa utafiti wangu roho ipo kwenye vitals organ, ambavyo ni ubongo,moyo,mapafu, ini na tumbo. Hivi vitu vimeshikilia roho. Kimojawapo kisipofanya kazi hapo ndio mwisho wako umefika.
ALaa kwa hiyo ukichungulia katika viungo hivyo waweza kuiona?Nitatoa mtazamo wangu hapo baadae. ila napingana na mtazamo wako. Kwa kifupi roho ni aina ya uhai ambayo huwezi kuielezea kwa physical means wala kuiona. Ikikutoka hata hivo viungo vyako viwe imala kiasi gani VITASIMAMA KUFANYA KAZI
 
Kilichopo kimoja Kati Ya binadamu Na Mungu ni roho
Roho ndio binadamu
Binadamu Ana mwili
Roho ni Munguu
Mungu ni roho
Binadamu ni Mungu
But mwili Sio Mungu
Wala akili sio Mungu
Utambuzi wa roho ni utambuzi wa Mungu
Ndio mana yesu alisema yupo ndani Ya baba Na baba yupo ndani yake
Coz alitambua uwepo wa roho
Ambao ni uwepo wa Mungu

ACHA kupotosha kuna aina nyingi za roho kama Mungu alivyoziumba. hata mjusi ana roho pia panya anayo. roho sio Mungu ila ni ufanisi aliouumba yeye. kama mnaweza umbeni na nyinyi mnaojifanya hakuna muumba.
MUngu yupo katika nafsi TATU
ungu baba, mwana na roho. ila roho sio mungu. Pia roho ya mungu haifanani hata kidogo na ya binadamu. Roho ya mungu ni roho mtakatifu. Kwa upeo wetu wanadamu tulivyoumwa tuelewe kwa level hiyo. ukichimba zaidi ya uwezo wako hutapata majibu na kuishia kusema hakuna muumba.
Roho ni uhai na nafsi kamili tunaeeza define hivi kwa uwelewa wetu. Lakini roho zipo tofauti ya kwako ni fofauti na ya panya. Pia kuna roho ya kishetani yenye uwezo wa kishetani. yaani yule lusifer.
Pia roho ni control system ambayo inauwezo furani wa kimiujiza. NIMESEMA KIMIUJIZA mana kuelezea mechanism yake kwa upeo wa kibinadamu vigumu. Control system hii ndio ile mungu alioipulizia katika dongo aliloliumba kwa mfano wake na dongo lile likaanza ku-operate kama binadamu. Hapa alipuliza roho au control system yenye uwezo alioupangilia yeye. aliupa uwezo wa juu kuliko na ule wa panya na wanyama wengine.
SASA inakuaje unatudanganya ROHO = MUNGU KIVIPI?
Namna ya kuunda roho ya aina fulani kuna sayansi ya aina yake ambayo binadamu hajagundua na hataweza kugundua kwa sayansi ya upeo wake. Mungu alifanya hivyo akijua kuna roho zigataka kujikweza akaweka mipaka. Tunachoweza kugundua ni sayansi ya kutusaidia katika maisha ya mwili wa udongo. Ila katika uhai wa kiroho hatuelewi kitu bila msaada wa roho yake. Ameweka limitation makusudi kama nilivyoeleza.
 
Ifahamike kwamba mtu anapofariki, cha mwisho kuzimika ni ubongo. Ndiyo maana unaweza kufa mwili mzima mpaka shingoni lakini kama ubongo bado upo hai unaendelea kuishi. Roho ipo kwenye ubongo ila uchungu upo mwili mzima.
 
Roho maanake ni uhai yaani ule uwezo wa kuishi ambao upo sambamba na kupumua,kuongea,kukua,yaani zile characteristics of living things zote zinatengeneza uwezo wa kiumbe kuishi,roho haikai mahali popote haiseeee, roho ni ability to survive !!
 
Wajuzi wa mambo haya mje hapa kunipa elimu juu ya hili. Je,iko kichwani,kifuani,moyoni,miguuni au mikononi? Mtu anapokufa,'roho' hufanyaje?

Wakuu Kiranga Shy land na Ishmael nawakaribisha pamoja na wengine kwa elimu.

Ukitaka kuelewa kwa urahisi roho ni nini, lazima kwanza uelewe kuwa kila kitu katika mbingu(universe)zimeungana pamoja (all intergrated, interconected and relate to each other) Note Law of relativity.
Hivyo kwa dhana hio(concept or reason), lazima tuelewe nini kinatuunganisha na dunia yetu na dunia yetu inaunganishwa na sayari nyingine, nyota kama Jua na nyota zingine kwa pamoja huunda galaxy na galaxy moja inaungana na galaxes bilioni kwa bilioni na ties up all togather to make one gigantic universe.

Nguvu inayoshikilia vitu vyote pamoja ni DARK ENERGY NA CHANZO CHA DARK ENERGY NI BLACK HOLE AMBAYO HUEMIT ENERGY INAYOKUWA GENERATED NA DARK MATTER (NGUVU YA MNURURISHO). KATIKA MWILI WA BINADAMU UBONGO NDIO KITU PEKEE KINACHOFANANA KIMAUMBILE NA UNIVERSE KWA KUPITIA SPHERE ZAKE NA ZILIZOUNGANISHWA NA HIGHWAYS ZA NEURONES. KATIKA UBONGO KUNA GLAND YA PITUITARY AMBAPO KATIKATI YA HII GLAND KUNA GLAND NYINGINE INAYOITWA PINEAL GLAND. HAPA NDIPO ROHO (CONSCIOUSNESS ENERGY) INAPORESIDE.
NA HAPA NDIPO FORCE OF OUR BEING INAPOINITIATE NA KUCOORDINATE KILA KITU MWILINI MWETU. HIVYO ROHO NI INTERCONNECTED CONSCIOUSNESS ENERGY which GOVERNS OUR EXISTENCE.
Kwa wale waliowai kuzimia na kurudia uhai wanaweza kuifahamu hii vizuri, lakini ni ngumu kueleza ukaeleweka. Nakiri kuwa nami ni miungoni mwa watu nilioelewa ROHO ni Nguvu ya UHAI na Uhai ni uwepo wa ufahamu.

HIVYO KUNA TOFAUTI KATI YA UHAI NA ROHO.
ROHO NI CHANZO AMA NI INGINE YA UHAI. N ROHO NI NGUVU YA UHAI NA UFAHAMU NA HUKAA KWENYE UBONGO NA KUTAWANYWA MWILI NZIMA. Nywele za kichwa ni antenae ya kupokea signal za ufahamu kati ya roho ilioko mwilini na roho ya ulimwengu( Mother Nature)
 
Back
Top Bottom