Wajuzi wa mambo haya mje hapa kunipa elimu juu ya hili. Je,iko kichwani,kifuani,moyoni,miguuni au mikononi? Mtu anapokufa,'roho' hufanyaje?
Wakuu
Kiranga Shy land na
Ishmael nawakaribisha pamoja na wengine kwa elimu.
Ukitaka kuelewa kwa urahisi roho ni nini, lazima kwanza uelewe kuwa kila kitu katika mbingu(universe)zimeungana pamoja (all intergrated, interconected and relate to each other) Note Law of relativity.
Hivyo kwa dhana hio(concept or reason), lazima tuelewe nini kinatuunganisha na dunia yetu na dunia yetu inaunganishwa na sayari nyingine, nyota kama Jua na nyota zingine kwa pamoja huunda galaxy na galaxy moja inaungana na galaxes bilioni kwa bilioni na ties up all togather to make one gigantic universe.
Nguvu inayoshikilia vitu vyote pamoja ni DARK ENERGY NA CHANZO CHA DARK ENERGY NI BLACK HOLE AMBAYO HUEMIT ENERGY INAYOKUWA GENERATED NA DARK MATTER (NGUVU YA MNURURISHO). KATIKA MWILI WA BINADAMU UBONGO NDIO KITU PEKEE KINACHOFANANA KIMAUMBILE NA UNIVERSE KWA KUPITIA SPHERE ZAKE NA ZILIZOUNGANISHWA NA HIGHWAYS ZA NEURONES. KATIKA UBONGO KUNA GLAND YA PITUITARY AMBAPO KATIKATI YA HII GLAND KUNA GLAND NYINGINE INAYOITWA PINEAL GLAND. HAPA NDIPO ROHO (CONSCIOUSNESS ENERGY) INAPORESIDE.
NA HAPA NDIPO FORCE OF OUR BEING INAPOINITIATE NA KUCOORDINATE KILA KITU MWILINI MWETU. HIVYO ROHO NI INTERCONNECTED CONSCIOUSNESS ENERGY which GOVERNS OUR EXISTENCE.
Kwa wale waliowai kuzimia na kurudia uhai wanaweza kuifahamu hii vizuri, lakini ni ngumu kueleza ukaeleweka. Nakiri kuwa nami ni miungoni mwa watu nilioelewa ROHO ni Nguvu ya UHAI na Uhai ni uwepo wa ufahamu.
HIVYO KUNA TOFAUTI KATI YA UHAI NA ROHO.
ROHO NI CHANZO AMA NI INGINE YA UHAI. N ROHO NI NGUVU YA UHAI NA UFAHAMU NA HUKAA KWENYE UBONGO NA KUTAWANYWA MWILI NZIMA. Nywele za kichwa ni antenae ya kupokea signal za ufahamu kati ya roho ilioko mwilini na roho ya ulimwengu( Mother Nature)