Kweli kua uyaone! Natamani nirudishe siku nyuma nirekebishe nilipokosea ila siwezi

Tatizo unawaza matokeo ya form four na wakati huohuo unawaza kutafuta pesa ,pesa na shule ni vitu viwili tofauti kwenye utafutaji wa pamoja
Homeboy!Homeboy! Sijui hupo mtaa gani kama bado hupo umu jamiiforums hebu soma tena hiyo comment ya kangesa
 
Kila mahali ulipo unaweza kujikwamua na kwenda sehemu nzuri zaidi...

Na ungefanikiwa kupata ufaulu mzuri, then ukaja kupewa kitengo baadaye si ajabu ungekuwa mpigaji kama hawa wapigaji wengine walio na nafasi maofisini...
kwanini unasema hivyo kaka
 


Una miaka mingapi? Kuna Dada wa kazi wakati anakuja kule mwanangu alikuwa na miaka 25.

Alinilelea mwanangu vizuri sana, nikamuuliza unataka kitu gani nikusaidie baada wa watoto kukua?

Kaniambia nataka nisome course, ila aliishia form 3, nikamwambia hautaweza course nzuri.

Nikamshawishi kwa nguvu sana asome masomo ya kurudia mthihani, kwa kifupi alifanya vizuri sana sana sana mpaka UD.

Kwa sasa ni muajiriwa wa NSSF ana maisha mazuri na kaolewa, yeye na mume wake ni kama watoto wangu.

Kwa nini nakuambia haya?

Wacha kulalamika, unaweza kurudi ukarekebisha hicho cheti kama umri unaruhusu na hauna watoto 7.
 
Hivi wewe unafikiri ungesoma ndio ungeyapatia maisha sio
 
Hapo unapoanza na Home boy,home boy unanifurahisha sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Homboy tunampa fursa kama zote..
Azingue yeye tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Reactions: EEX
Oya mwana achana na wale wanao walienda chuo vitu wanapost ni tofauti na uhalisia wao (wana fake maisha)
PAMBANIA KOMBE LAKO ACHA KUTAKA KUISHI MAISHA YA WENGINE.
 
Mbona kufeli kwako hakuhusiani na maisha magumu?kuna watu wameishia std 7 wanaishi vizuri kuliko hata waliosoma .
Shida uliyojiwekea wewe ulifanya shule ndio kila kitu maishani mwako na ndio kitu kinachokutesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…