Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Anamaanisha Uhuru ni Kazi .Unamaanisha nini huu msemo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamaanisha Uhuru ni Kazi .Unamaanisha nini huu msemo??
Homeboy!Homeboy! Sijui hupo mtaa gani kama bado hupo umu jamiiforums hebu soma tena hiyo comment ya kangesaTatizo unawaza matokeo ya form four na wakati huohuo unawaza kutafuta pesa ,pesa na shule ni vitu viwili tofauti kwenye utafutaji wa pamoja
kwanini unasema hivyo kakaKila mahali ulipo unaweza kujikwamua na kwenda sehemu nzuri zaidi...
Na ungefanikiwa kupata ufaulu mzuri, then ukaja kupewa kitengo baadaye si ajabu ungekuwa mpigaji kama hawa wapigaji wengine walio na nafasi maofisini...
Nilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nililia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu.
Maisha yananichapa vibaya sana kulala njaa kwangu imekuwa jambo la kawaida. Inafika hatua naeanda kwenye mihangaiko wiki nzima siambulii chochote daah 😠.
Natamani nirudishe siku nyuma nirekebishe nilipo kosea ila siwezi. Inafika hatua natamani nisingezaliwa sio kwa msoto huu. Usingizi hata hauji mawazo masaa 24 kichwa kinawaza tuu.
factDah pole sana mkuu.
Zungumza na watu unaowaamini na wanaweza kukusaidia bila manyanyaso wala kukutangaza .
Mungu akufanyie wepesi.
Hapo unapoanza na Home boy,home boy unanifurahisha sana😀😀😀Kiwanda cha nondo weeeeh so poa
Jifunze ufundi wowote hasa simu hutolala njaas
Hivi wewe unafikiri ungesoma ndio ungeyapatia maisha sioNilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nililia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu.
Maisha yananichapa vibaya sana kulala njaa kwangu imekuwa jambo la kawaida. Inafika hatua naeanda kwenye mihangaiko wiki nzima siambulii chochote daah [emoji34].
Natamani nirudishe siku nyuma nirekebishe nilipo kosea ila siwezi. Inafika hatua natamani nisingezaliwa sio kwa msoto huu. Usingizi hata hauji mawazo masaa 24 kichwa kinawaza tuu.
Sijui anapiga mishe gani ambazo aingizi chochote wiki nzima namuona kama mvivu na mjingaKAZI ni kipimo Cha utu
Kweli mkuu[emoji1787]Kiwanda cha chuma show zao sio za kitoto mkuu
Homboy tunampa fursa kama zote..Hapo unapoanza na Home boy,home boy unanifurahisha sana😀😀😀
Haka kamsemo haka kana maana sana.KAZI ni kipimo Cha utu
Karibu sportpesa jackpot mtaji bukuKaribu M-bet Mtaji buku tuuu unatoboa.