Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

Hao 900 najitolea kuwap mahali pa kulala wawili wakiwa wanafukuzia hizo interview zao wawili tu ambao hawajitoshelezi maana gheto hapa tuko wawili aje na pesa ya kula tu pakulala papo
Sasa we Hap unataka mserereko wew [emoji3][emoji3]
 
Hata hao 50 ni wengi mno walipaswa wasizidi 10! Huu nao ni ufisadi!
Watumishi wa Utumishi lazima watakuwa washajenga lodge huko kipindi wamehamia kule, hii itakuwa ni namna ya kutafuta wateja. Nawaza hivi kwa asilimia nyingi sana.


Haiingii akilini uite watu 1800 wakapambanie nafasi 2 bila kuwa na maslahi na maamuzi hayo.
 
Alafu namaanisha ambao ni hoe hae wenzangu wajibebe nauli na pesa zao za kula gheto lipo nipo mimi na mshikaji ambaye nayeye nilimuita mjini aje apambanie kombe wawili jumla tunakua wa4 tosha kwa kagodoro ka 5 kwa 6
 
6700 hawana sifa?
 
Toa soln Ni Nini.
 
Kuna mkaka aliomba u DG huku akiambatanisha cheti cha veta
 
Tutabishana sana ila bila kuana teknolojia yetu, tutateseka Sana. Tunahitaji sana teknolojia ya chuma.
Teknolojia yetu, nadhani inawezekana hata kuchukua teknolojia ya wengine(copying) na kuiboresha ili twende sawa. Hata China alicopy sana tech za mmarekani, hadi kufika alipo sio kazi rahisi.
 
Tuna akili za kimasikini Sana ,hii kiradi tunayofanya ni kazi bure kama haihusishi waTanzania directly kugain pesa Kwa kupitia hiyo miradi either kama wakandarasi / wazabuni au waajiriwa , tunatengeneza Umasikini Tu na kuwanufaisha wachina na wapuuzi wengine , yaani Tunatumia pesa kuwagawia watu wengine halafu Sisi makapuku wanaongezeka na unemployment rate kuwa kubwa plus low living standards na misery
 
S
Walezi wa siku izi wasenge sana hawapendi pesa yao itumike kuwasaidia watoto wao ila ni bata tu na kujivua majukumu muda usio sahihi
 
Gheto sina jiko namaanisha wakitoka kwenye interview zao waje wameshiba ndio kwanza naanza maisha kagodoro kapo chini kitu nitawasaidia labda nauli na tungi maana gheto sina hata jiko
@DANIEL LOUIS BECKFORD ase msaidie huyu chali mpk kaanzisha uzi mpe hifadhi nakuomba mkuu maana Mimi najua hali iliopo mtaani Mimi sipo dom ningekuwa ningemsitiri hata kwa washikaji
 
Ajira ni tatizo la dunia nzima,na hili tatizo halikwepeki kwani kila kukicha dunia inapunguza utegemezi wa kumtumia binadamu kuzalisha na kutumia telknoljia ili kurahisiha utendaji kazi,tunachopaswa ni kuwaandalia watoto wetu njia mbadala za kuwaingizia mapato ikiwemo kujiajiri...
 
Hawana ubunifu wa kuzifungua fursa hizi tele
 
Watu hawatakuelewa.
Elimu basic iwepo kumuongoza ila mali muhimu zaidi ili kusababisha muendelezo wa familia
 
Acha tupambane na vyuo vya private,namlipia ada akimaliza ntajua nini ntamfanyia kama hajapata kazi...vijana wa kike na kiume wengi wao wakimaliza vyuo wakikosa kazi ndio wanageuka kua wadangaji na kubeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…